Akili za wanawake wengi wa mitandaoni ni ngono tu!

Akili za wanawake wengi wa mitandaoni ni ngono tu!

Umeona mumy! Huenda ikawa ndio lengo lake kujiunga na hiyo mitandao ya kijaamii.

Tumpe pole aliyemdanganya kwamba kila mwanamke wa kwenye mitandao ya kijamii yupo kwa ajili hiyoo.
Shame on him asee
Na ataendelea kuwapata hao hao 6 kati ya 100
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa mitandaoni wanawaza ngono tu muda wote. Mfano umemtumia mdada ujumbe just for "friendship" (tena hiyo ni salamu tu), ataishia kuangalia na hatojibu ukihoji wanakuambia wanaepuka kutongozwa.

Sasa kwa mwananchi wa kawaida unajiuliza kutongozwa ni dhambi? Hiyo moja, mbili ni lazima kila ukitongozwa ukubali??

Ukiwatumia SMS wanawake 100 social networks wakaojibu ni 6 tu. Nashindwaga kuwaelewa kabisa, eti wadada shida nini??
Nilikua nafikiriaga labda ni Mimi tu kumbe tupo wengi,ila hakili zao nazijua Mimi tu,mwanamke ukimkuta anashida utakamata kama Toto la ndege limenyeshewa mvua,mkute hana shida weee ataruka futi mia
 
Kama wewe unatumia msg wanawake 100, ujue pia mwanamke anaweza kupokea msg za watu 100 sasa mimeseji yoote hiyo unajibu ya kazi gani, afu mimeseji yenyewe ya kifalafala
Kuna tofauti kubwa kati ya salamu na mimeseji ya kifalafala kunywa maji mengi ushushe povu hilo
 
Unachekesha wanaume akili yao inawaza nini, tengeneza avatar fake jifanye mwanamke unatafuta kazi mme huone pm inavyoshaini
 
Asilimia kubwa ya wanawake wa mitandaoni wanawaza ngono tu muda wote. Mfano umemtumia mdada ujumbe just for "friendship" (tena hiyo ni salamu tu), ataishia kuangalia na hatojibu ukihoji wanakuambia wanaepuka kutongozwa.

Sasa kwa mwananchi wa kawaida unajiuliza kutongozwa ni dhambi? Hiyo moja, mbili ni lazima kila ukitongozwa ukubali??

Ukiwatumia SMS wanawake 100 social networks wakaojibu ni 6 tu. Nashindwaga kuwaelewa kabisa, eti wadada shida nini??
Ni kweli wanaume wengi wanawatongoza
 
hahah...kwan unakuw unawatmia text ili iweje mkuu? il uwatongoze au just a hii
 
Kwani lazima wakujibu! Mtu kukujibu msg ni uamuzi. Mda mwingine wanaokuja PM ni wengi na huwezi wajibu wote.
 
Back
Top Bottom