Akili yangu naijua mwenyewe

Akili yangu naijua mwenyewe

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
Unashangaa wenzako wanabarikiwa wewe unabaki unajiuliza kwa nini? Kumbe kila siku Mungu anakuja kukubariki anakuta unaimba ule wimbo wa Ali Kiba "MALI NI NYINGI NYUMBANI.........," Anaamua kurudi zake.
.
Akili Yang naijua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Badlika bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom