sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,206
- 8,041
Asante nimekupata vizuri kabisa. Vipi unaweza kuelezea kuhusu conscious mind na subconscious mind japo hata kidogo in relation to brain?
Asante nimekupata vizuri kabisa. Vipi unaweza kuelezea kuhusu conscious mind na subconscious mind japo hata kidogo in relation to brain?
Kwanza kabisa inabidi ujue kazi za ubongo , zimegawanyika ktk makundi makuu mawiliAsante nimekupata vizuri kabisa. Vipi unaweza kuelezea kuhusu conscious mind na subconscious mind japo hata kidogo in relation to brain?
Mfano wewe una PhD bahati mbaya ukapata uvimbe kwenye ubongo, ukafanyiwa surgery, baada ya upasuaji ukapata tatizo la kupoteza kumbu kumbu, hukumbuki densa lolote kwenye taaluma yako, maana yake ni kwamba knowledge yako ilihifadhiwa kwemye ubongo,Na kipi kinachofanya mtoto afanye vizuri na mwingine afanye vibaya darasani ili hali wote mwalimu ni mmoja.
Ndio,Je, kuna uwezekano wa kuongeza uwezo wa kutunza kumbukumbu kwenye ubongo kwa muda mrefu?
Ndio mkuu swali lako ndio jibu ukilitolea alama ya kiulizo,Computer Science? Kompyuta si zimegunduliwa juzi TU hapo baada ya Vita kuu ya pili ya dunia!! In maana muda huo wote wataalamu hawakujua kumbukumbu zinatunzwaje ubongoni?
Mkuu hapa ni issue ya kujiongeza tu it is better ukatafuta ambayo haikuletei madharaMifupa ya samaki kumbe ni dawa, je ni samaki wa aina gani hao? Maana samaki wengine wana miba midogo midogo ambayo ni hatari kama haitatafunwa vizuri huweza kusababisha tatizo la vidonda vya tumbo
Vp kuhusu hili pia?Je, kuna ukweli gani kuhusu watu wanaotumia mkono wa kushoto kwenye kuandika , kwamba husifika sana kwa kuwa na uwezo mzuri darasani
Kuna utafiti ulifanyika mtu aliyekatwa mguu wa kushoto miezi michache tu baada ya kukatwa mguu bahati mbaya mgonjwa akafariki, wanasayansi wakati wanafanya autopsy(kuchunguza maiti) ya huyo jamaa wakagundua sehemu ya ubongo inayohusika na mguu wa kushoto haipo, maana yake ni kwamba kiungo usipokitumia circuit zake zinaanza kupukutika na kuisha, ila kiungo kikitumika circuit zake hukua na kustawiVp kuhusu hili pia?
Hapo inabidi tuingie deep!!!!Mkuu nna maswali Ila natanguliza shukran...
1.Nataman nijue uhusiano wa ubongo na addiction eg gambling sex drugs alcohol.???! .naamini utatusaidia wengi hp
2. Je,kumbukumbu zinapungua kadri umri unavoenda??? Mi nlikuwa mwandishi mzuri wa spellings Ila sasa hivi nazisahau
3; Kuna uhusiano Kati y hormones emotions n brain??? If so how ?!