uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,784
- 27,974
"mkuu"au sio!?Ahsante saana mkuu tupo pamoja
We wa kitambo umeamua ku refresh ili useme oktoba ✅✅✅
"mkuu"au sio!?Ahsante saana mkuu tupo pamoja
Siwezi kutiki October bila mabadiliko ya katiba mkuu"mkuu"au sio!?
We wa kitambo umeamua ku refresh ili useme oktoba ✅✅✅
😂 Amani itawale mkuuUsije ukawa tuu unatuchora,ututeke kwa Wema karibu sana.
Mi nita✅✅✅mapema.Siwezi kutiki October bila mabadiliko ya katiba mkuu
Jf zamani ndio ilikua hivyo, sasa hivi ni ni matusi na udini tu, watu wanakishifu dini za wengine tu.Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
Umenikumbusha ile movie ya officer nkai 😝Wakuu habari zenu, Ni Matumaini yangu kuwa mpo wazima wa afya na mna nguvu pia.
Nimegundua maarifa yapo huku hili ni moja ya jukwaa Bora sana kuwahi kutokea nimejoin Leo rasmi ili niendelee kujifunza mambo kadha wa kadha, naombeni mnipokee kijana wenu
Ahsanteni!!
😂😂Afisa wa JFUmenikumbusha ile movie ya officer nkai 😝
Aminia 😂😂😂Afisa wa JF
Tutachuja mazuri tutachukua, mabaya tunayaacha hum humJf zamani ndio ilikua hivyo, sasa hivi ni ni matusi na udini tu, watu wanakishifu dini za wengine tu.
Hakika mkuu shukrani tupo pamojaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Asante sana mkuuKaribu sana JamiiForums...