Akili maana yake ni matokeo(matendo) ya kitu fulani

Taarifa hupakiwa kwenye ubongo kwa njia tano
Kuona
Kusikia
Kunusa
Kugusa
Kuonja

Data = idea, symbol or concept of an object
Data + data = information
Information + information = knowledge
Knowledge + knowledge = education

Intelligence ni ile ability ya ku retrieve knowledge, kuichakata kisha kuitumia kupambana na tatizo, swali au changamoto ya kimazingira
 
Huyo huyo anaweza fanya jambo akaambiwa huyu jamaa hana akili kabisa anajengaje Nyumba maeneo haya 😠😠😠😠
 
Kuwa na akili ni kupata A kwenye physics na kuyatumia maarifa hayo kuleta mabadiliko chanja katika jamii au ni kuweka rekodi ya kupata A kisha hakuna faida yoyote katika jamii?Kama unapata A kwenye physics halafu kunakuwa hakuna faida yoyote ya A yako,kwa nini kitu kama hicho tukiite kuwa ni akili?

tatizo tunakariri ili tupate A waseme tuna akili.

mtu kwenda shule ni jambo moja tujue,kuwa na kumbu kumbu ya kuwasilisha alichokariri kwenye mitihani ni jambo jingine tena tofauti na kuwa na akili,kuwasilisha alichojibu kwenye mtihani katika maisha halisi,hii ndio rocket science sasa.

ndio maana waliotuletea vitu vya maana vinavyotusaidia,hawakuwa wazuri darasani,maana hawakupoteza mida ktk kukariri ta wengine bali kuja na yao vichwani mwao,hizi ndio akili sasa.
 
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo ikionesha maana ya akili ni nini,wameelezea na kutofautiana watu wengi juu ya nini tafsiri ya akili.

Baada ya kuchukua muda wangu kidogo na kuwaza juu ya jambo hili nimeona nishee nanyi maana ya akili ambayo nimeiafiki baada ya kujadiliana na ubongo wangu.

Bila kupoteza muda kwa mjadala tutakutana kwenye comment,AKILI maana yake ni matokeo.

Kivipi ?
Kwa sababu kila anaesema mtu fulani ana akili lazima awe na jambo au kitendo ambacho kakifanya huyo mtu anaedaiwa kuwa na akili.

Mfano

Watu wanasema fulani ana akili amwpata GPA kubwa,hiki kitendo cha yeye kupata GPA kubwa ndio komefanya tujue jamaa ana akili.

Mfano2.
Utasema aliyegundua balbu ana akili sana,bila kufanya kitendo cha yeye kugundua balbu singesema kama ana akili,hivyo kitendo chake kimetujisha kuwa ana akili.

Mtu ambaye amezaliwa hafanyi lolote lile,kalala tu ni ngumu kusema ana akili nyingi kwa sababu hajatuoneaha matendo yake.

Watu maarufu magenius wote tumewajua kwamba wana akili nyingi kwa sababu ya matendo yao,bila matendo yao tusingejua kama wana akili nyingi kiasi hiko.

Hata wewe msomaji tutasema una akili nyingi utakapofanya jambo au tendo au matokeo chanya kwemye jamii yako,kama hukufanya hautiwi kwenye kundi la watu wenye akili nyingi.

Mtu akitembea basi ana akili ya kutembea.
Mtu akila ana akili ya kula
Mtu akienda chooni ana akili ya kuenda chooni.

Bila matokeo hakuna akili.
intellect is the one differentiate one's from another.
The mind is a thinker with a
primary function of generating thoughts while we are
awake. It dreams while we sleep. The mind is not the
intellect. The intellect is another subtle function of the body
that gives us the ability to discriminate between right and
wrong. We should not confuse it with the mind. The mind
only produces thoughts, but the intellect discriminates
between these thoughts. Even the memory that is
connected to the mind is a different domain.
It has a
specific function to memorize and recall. The mind
produces thoughts, but it is the memory that records these thoughts.
Another simple method of separating the mind from the
intellect is to watch the waking mind as the body sleeps.
We realize that the mind is different from the memory
and the intellect because whatever the mind dreams
when we are asleep, the intellect does not review or
discriminate. The intellect does not decide whether the
mind should dream or not dream. The intellect is
disconnected, disabled and not conscious. Therefore,
when the body sleeps, it seems that the intellect also
goes to sleep. If the intellect was awake then the intellect
would discriminate dreams, would choose in a dream.
But we are unable to choose in a dream because the
mind is different from the intellect.

When we are awake, and the mind is observing, thinking
and feeling, the memory records what the mind thinks. But
what happens when we are asleep? It seems that the
memory also goes to sleep. We do not remember what we
see in dreams. In most cases, we cannot remember or recall
dreams(ndoto nyingi unazokumbuka ni zile ulizoshtuka baada ya kuota).
It only goes on to show that the memory is asleep
as the mind dreams, which makes it different from the
mind. If the memory and mind were one, then every
dream would be recorded in our memory and it would
be easy to recall. But we are not able to recall our dreams
because they are not recorded in our memory.
We should learn to isolate our mind from our other
subtle functions. Otherwise we are living a fairy tale that
is far from the truth.
 
Mkuu nimeleta mada kwa kiswahili,tujadili kwa kiswahili.

Sijabobea katika mijadala kwa kutumia lugha isiyokuwa ya kiswahili
 
siko vizuri kwenye kiswahili lakini sidhani kama kufahamu ni kitendo navyojua kufahamu ni hali ya kutambua jambo
Kusema kwako hali,neno "hali" haliondoi neno "kufahamu" kuwa mi kitendo.

Kufahamu lazima ubongo ufanye kazi ya kutafakari,kama ubongo unafanya kazi hiko ni kitendo tayari hakuna kazi ambayo sio kitendo.

Au unavyohisi wewe kitendo ni nini ?
 
ila unaweza kuwa na ubongo lakini usiwe na akili nyingi,
Ni wakati gani ambapo mtu mwenye ubongo tutasema hana akili ?
Mtoto kadri muda unavyozidi kwenda anakuwa anajifunza mambo mbali mbali kama vile majina ya watu vitu n.k
Umetaja nwno kujifunza,na kumbuka kujifunza ni kitendo ambacho kinahusisha milango mbalimbali ya fahamu.

Hapa tunaenda sawa kwamba akili ni matendo,ndio maana mtoto anauwezo wa kutenda kitendo cha kujifunza na akafanya kitendo cha kufanyia kazi alichojifunza(matokeo sasa)
hapo anakuwa analijaza puto(ubongo) upepo
Kujaza ni kitendo na kupokea ni kitendo pia,kitendo cha puto kupokea hewa ndio akili yenyewe hiyo sasa.
akili au kwa kiingereza mnaita mind),

Tunachotofautiana binadamu ni wingi wa upepo (akili) mfano mtu aliyesoma sana tunasema ana akili nyingi sababu puto lake kalijaza content muhimu mnaita maarifa,
Puto kujaa content ni kitendo,maji ujazwa kwenye ndoo ni kitendo na maji kutolewa kwenye ndoo ni kitendo pia.

Hivyo kujaza content ni kitendo ndio maana umehusisha na akili,huwezi kuisemea akili bila kuhusisha na tukio fulani.
 
Kuna terms kuzitofautisha kwa kiswahili ni ngum.
e.g mind, intelligence, intellect.
Mimi nimeweka mada kwa kiswahili nataka tujadili kwa kiswahili,mawazo yangu lazima niyawakilishe kwa lugha ninyalijui ili nipate kuijadili vizuri
 
ni kuweka rekodi ya kupata A kisha hakuna faida yoyote katika jamii?
Jamii au watu wanaomzunguka huyo aliyepata A Ndio watasema kama hiko kitu kinatija na chenye kuleta heshima kwa jamii au kwake yeye binafsi.

Jamii inayomzunguka ikikubi basi hiyo inakuwa ndo akili
 
Ni wakati gani ambapo mtu mwenye ubongo tutasema hana akili ?
Mkuu sijasema kuwa kuna mtu asiye na akili , nimesema kuna wenye akili kidogo na akili nyingi, nisome tena

Umetaja nwno kujifunza,na kumbuka kujifunza ni kitendo ambacho kinahusisha milango mbalimbali ya fahamu.

Hapa tunaenda sawa kwamba akili ni matendo,ndio maana mtoto anauwezo wa kutenda kitendo cha kujifunza na akafanya kitendo cha kufanyia kazi alichojifunza(matokeo sasa)

Kujaza ni kitendo na kupokea ni kitendo pia,kitendo cha puto kupokea hewa ndio akili yenyewe hiyo sasa.

Puto kujaa content ni kitendo,maji ujazwa kwenye ndoo ni kitendo na maji kutolewa kwenye ndoo ni kitendo pia.

Hivyo kujaza content ni kitendo ndio maana umehusisha na akili,huwezi kuisemea akili bila kuhusisha na tukio fulani.
Anyway sijaona kitu kipya hapo, nilikuwa nakuomgezea maarifa
 
Back
Top Bottom