Geee
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 465
- 93
Rais mtarajiwa uyo
Nahama nchi
Rais mtarajiwa uyo
Mwigulu na kigwangwa wamemezeshwa 'micro sd' zilizorekodiwa maneno mbofu mbofu.yule si mtu ni kama robbot fulani anayecontroliwa na ccm. yaani kanaongea continuous hata akachoki na kama vile akili zake wameziseti
Jina kubwa sana mwigulu Nina mtoto wangu nimempa jina hilo
Mwigulu amewashika pabaya magaidi now hawapumui huyo alitakaa aambiwe kama za rwakatale
Jina kubwa sana mwigulu Nina mtoto wangu nimempa jina hilo
hamna ubaya si unafurahishwa ba tabia zake za kishetani sasa tegemea na mtoto wako kuwa shetani......silly
Mwigulu na kigwangwa wamemezeshwa 'micro sd' zilizorekodiwa maneno mbofu mbofu.
Source 'ogopa kukopi' tbc.