Akili kama za Mwigulu Nchemba

Akili kama za Mwigulu Nchemba

Mwigulu amewashika pabaya magaidi now hawapumui huyo alitakaa aambiwe kama za rwakatale
 
Mwigulu amewashika pabaya magaidi now hawapumui huyo alitakaa aambiwe kama za rwakatale
Ivi ile kesi ambayo mchungaji Mtikila alimuita Kikwete gaidi illishia wapi? Inawezekana magaidi ni hao hao wanowasingizia wenzao ni magaidi, just imagine kama mwenyekiti wao ni gaidi wanachama watakuwaje?
 
nadhani siku nkikutana nae ntamchapa kofi kali kuliko alilopigwa mzee wetu Ruksa.
anaongea kama cherehani
mtu mwongo siku zote huongea maneno mengi haraka haraka bila kupumua ili usipate nafasi ya kumpinga
 
Jina kubwa sana mwigulu Nina mtoto wangu nimempa jina hilo
 
yule si mtu ni kama robbot fulani anayecontroliwa na ccm. yaani kanaongea continuous hata akachoki na kama vile akili zake wameziseti
 
Hivi utajisikiaje mtu akikwambia hivyo,nipo sehemu nimekaa kuna jamaa kaambiwa hivyo na mwenzake jamaa akarusha ngumi ndo najiuliza ni tusi au?

tusi kubwa sana.akili za mwigulu uazionaje? halafu kwenye chama chao ndie kiongozi mkubwa
 
Akili mgando aka mchumi 1st class, basi maccm yote ziiiii
 
Hivi hili jina la Mwigulu Njemba lina asili ya utanzania?naomba kuhoji kuhusiana na suala hili na kujua uraia wake
 
haya Ndugu wakigombana ww shika Jembe Ukalime........Hv mnisaidie coz karbu Post zote za Humu za kisiasa for now zimetawaliwa na jina la Mwigulu Nchemba Je mm sijui Huyu ni Mbunge Or?
 
Mwigulu amewashika pabaya magaidi now hawapumui huyo alitakaa aambiwe kama za rwakatale

ingelikuwa mimi ningejinyonga'(swela) eti useme nina akili kama mgulu au nape au riz na babayake! Nasema lavalonge swela
 
Back
Top Bottom