Akili haitoki darasani


BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
427
Likes
3
Points
35
BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
427 3 35
Akili yangu huwa na jazba kwani mara nyingi nakutana na habari za kutia hasira na zenye upotoshaji wa hali ya juu na huwa natamani niandike coment za kashfa lakini nafikiria alafu naona haina maana.Mara nyingi nimekuwa nikisoma comment za watu na huwa najiuliza hivi unakaa unaandika comment ya matusi au kashfa na kejeli kwanini usimjibu mtu kwa hoja na umuelimishe...matusi huonyesha upeo wako wakufikiri na busara ulionayo, matusi hayaonyeshi kiwango cha elimu wala uwelewa wa mtu kwani humu ndani kuna watu wenye elimu na uelewa mkubwa lakini wao ndio wakwanza kwa matusi na kashfa na kejeli..kama ni propaganda unawza kuwa mstaarabu tu.hata siku moja huwezi changia chochote cha msingi kama utakuwa ni mtu wa jazba matusi na kejeli...nakusaidia kwa leo usije kuabika kesho
 

Forum statistics

Threads 1,250,604
Members 481,419
Posts 29,738,564