Akili haikuwi kwa umri

Tungekuwa na uwezo wa kuhavest knowledge basi sehemu sahihi ni graveyard( burial ground= makaburini) ambapo watu wamezikwa na mawazo yao sahihi lakini hawakuyaweka into action..

Jamaa katoa somo zuri sana..

Tatizo mind zetu zishakuwa controlled na hao ndugu zetu,tumebaki kufauta kile wanachotaka.

Sent using Nokia 8 Plus
Paragraph ya mwisho.


kwanini uendeshwe na watu wengine wakati duniani umekuja mwenyewe na utaondoka mwenyewe . Think

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom