Akili haikuwi kwa umri

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
433
500
*Akili haikui kwa umri, bali kwa taarifa na maarifa sahihi unayoingiza akilini kwa wakati sahihi*

Lakini pia kuwa na maarifa mengi kichwani usiyofanyia kazi inakua haina tofauti na punda aliyebeba vitabu vingi, .

-Ni kama Nikola Tesla anadharaulika kwa kitu kimoja, alikua na maarifa mengi lakini hakutaka kuingiza sokoni wala ku share na watu wengine. Ili hali Thomas Edson alikua mjanja kuchukua maarifa kwa ma genius wengine, anajimilikisha lakini anayaingiza sokoni au ana share na binadamu wengine.

-Mwandishi mmoja ambaye alikua best seller NY times mara nyingi. Kabla hajawa mwandishi, alikua broke( maskini aliyefilisika) siku moja alienda hospital akawa anaumwa kupimwa akakuta ana cancer bado miezi sita afe.

-Akajiuliza atafanya nini familia yake isiyeseke, akaanza kuandika kitabu, tena sio kimoja, viliuza sana. Na hakuishi miezi sita tuu bali miaka mitano mbele.
- what would happen if angekufa na hayo maarifa?.

- Ndiyo maana Dr.Myles Munroe alisema the richest place on earth is graveyard.
-Fanya kuchukua kalamu anza kuandika michanganuo ya biashara sasa.
-Michanganuo ifike hata mia,At the end utapata the best zaidi.
-Fanya zoezi la kufikiri.

-Early Nightingale alisema most men dont think.
-Lets think and be doeers. Not thinkers and procrastinators.
- Elon Musk aliona fursa Mars. Ma professor walimpinga, leo Nasa wanampa dili za hatari.
*Think Different Everyday *
*Change ur mind change ur life*
PATA NAKALA YA KITABU CHANGU * MGODI KATIKATI YA MASIKIO ; kwa tsh 3000 tuu kwa sasa. henryest600@icloud.com
 
Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,077
2,000
Well said Mkuu,,most of us are procrastinate a lot asee sometimes mpk nahic evils meingilia kati asee

btw huyu jamaa alimaanisha nn kwa huu msemo ''the richest place on earth is graveyard.'' Dr.Myles Munroe
 
Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,468
2,000
sawa mkuu, tatizo njaa! maskini tunawaza tutakulaje kesho.
Na hili ni tatizo kweli, wengi wetu tumekuwa wapiga upatu kuchumia tumbo, ndo mana unaweza kuta msomi kweli na madegree ila anayoongea kama mtoto wa darasa la pili, no logic, no mantic, yote hii sababu ya tumbo.
 
lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,418
2,000
Well said Mkuu,,most of us are procrastinate a lot asee sometimes mpk nahic evils meingilia kati asee

btw huyu jamaa alimaanisha nn kwa huu msemo ''the richest place on earth is graveyard.'' Dr.Myles Munroe
Tungekuwa na uwezo wa kuhavest knowledge basi sehemu sahihi ni graveyard( burial ground= makaburini) ambapo watu wamezikwa na mawazo yao sahihi lakini hawakuyaweka into action..

Jamaa katoa somo zuri sana..

Tatizo mind zetu zishakuwa controlled na hao ndugu zetu,tumebaki kufauta kile wanachotaka.

Sent using Nokia 8 Plus
 
Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,077
2,000
Tungekuwa na uwezo wa kuhavest knowledge basi sehemu sahihi ni graveyard( burial ground= makaburini) ambapo watu wamezikwa na mawazo yao sahihi lakini hawakuyaweka into action..

Jamaa katoa somo zuri sana..

Tatizo mind zetu zishakuwa controlled na hao ndugu zetu,tumebaki kufauta kile wanachotaka.

Sent using Nokia 8 Plus
Dahh!! nmekusoma chief,, true dat asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,077
2,000
Tungekuwa na uwezo wa kuhavest knowledge basi sehemu sahihi ni graveyard( burial ground= makaburini) ambapo watu wamezikwa na mawazo yao sahihi lakini hawakuyaweka into action..

Jamaa katoa somo zuri sana..

Tatizo mind zetu zishakuwa controlled na hao ndugu zetu,tumebaki kufauta kile wanachotaka.

Sent using Nokia 8 Plus
Bt i believe we stil can get those knowledge in one way or another, ts roaming somewher around the universe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,057
2,000
Kama mnataka Mali mtayapata shambani.
Kuna mashamba mengi, Kila chenye kukuletea faida ndilo Shamba lako. Ufanye ubongo wako kuwa Shamba lako
 
Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,468
2,000
Pengine tatizo tulilokuwa nalo ni mental impairment, hatuwezi kabisa ku engage first our mind in thinking systematic to come up with precious and second to intergrate what we have in mind with real world, ndio maana watu wengi wanakwenda na mawazo yao kaburini, lakini tunaweza kama tuta engage in practice on what we have in mind na free writing of our ideas.
 
Upo sahihi sana thinker
 
Nowonmai

JF-Expert Member
Jan 15, 2019
424
500
Watakuambia apewaye huongezewa. Kumbe kila mtu tayari keshapewa. Baki kujiongezea tu kila mmoja kivyakevyake.
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500
Na hili ni tatizo kweli, wengi wetu tumekuwa wapiga upatu kuchumia tumbo, ndo mana unaweza kuta msomi kweli na madegree ila anayoongea kama mtoto wa darasa la pili, no logic, no mantic, yote hii sababu ya tumbo.
Tukijitahidi tunaweza japokuwa the best part ya hayo yote ni kifo kifo that's why graveyard is the richest place to harvest knowledge.

Sent from my PHANTOM5S using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom