Pole pole jirani. Hiyo patia patia imewatokea watu puani. Je Ukifumaniwa na mumewe wakati unampatia si itakuwa shughuli? Kuna tendency ya kuingiana kinyume kwa kesi za kufumaniana.
"Tabia ya muke huyu ilianza toka kitambo, mume alivumilia na kula mapochopocho kwa shingo upande masikini, kumbe siku hiyo baba kabwaga manyanga chini na kumtafuta mpemba, mpemba kamkimbia, yooyoo" hapo banza hajaanza kupiga ngada.
Maji ya shingo yamenifikaaaa nashindwa kueleeewaaa..,bora nirudi kweetu......"kipindi hicho niko form five nyegez seminari....ukiingiia Mwanza stendi.bado wanatembeza tape kwenye matoroli...ilikuwa raha sn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.