wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 167
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
Mamlaka ipi imefanya hivyo, hii Serikali ya maajabu ya Dunia!!?kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
Porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Ni habari njema iwapo ni za kweli japo siziamini sana cos hujatoa chanzo chako cha habari ni kipi na hujasema ni kwa kiasi gani inaweza kuwa kweli..but let us pray for it to be TRUEkuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
Unajitiatia mmno
We bibi sijui kiwango chako cha ufikiri kipo vipi VINGINEVYO una maslahi ya moja kwa moja na Serikali hii,mojawapo kati ya hivyo au vyote vinakuhusu.Porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.