Akaunti zote za nje zimefungiwa

Ushauri wa bure kwa rais na other top leaders wahusika waachie tu kiroho safi nchi iwe salama lasivyo tutafika pabaya sana sana, this is truth, migogoro ambayo ni rahis tanzania kutokea ya kenya cha mtoto... Hebu serikali yangu mnakuwa wagumu ili hii ifike mahali pabaya.
 
Kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye account nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi.Hata wale walioweka deposit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja.
Sisi wa nmb wala hata shaka hatuna .
 
Back
Top Bottom