Akaunti zote za nje zimefungiwa

wakimataifa

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
942
167
Kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye account nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi.Hata wale walioweka deposit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja.
 
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja

Namkumbuka sana Jaji Warioba katika hili. Inasikitisha mambo mazuri mengi CCM iliyakataa. Hawa watu ni ovyo kabisa. Yaan miiko yote migunu ya uongoz wameitupilia mbali.
 
Ikiwa watafanikiwa kuzifungia basi, ngoyai, chenge, pinda na akina rugemarila imekula kwao
 
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
Mamlaka ipi imefanya hivyo, hii Serikali ya maajabu ya Dunia!!?
 
Hii ni kama hadithi ya HEKAYA ZA ABUNUASI.CCM hakuna hata mmoja mwenye huo ujasiri labda kama kuna mapinduzi yamefanyika kimyakimya na uongozi wa watu wapya ndo ulioamua kufanya hivyo!!!!.
 
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja
Ni habari njema iwapo ni za kweli japo siziamini sana cos hujatoa chanzo chako cha habari ni kipi na hujasema ni kwa kiasi gani inaweza kuwa kweli..but let us pray for it to be TRUE
 
kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye accout nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi hata wale waliweka dipozit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja

Kama donors wameamua yawezekana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom