Akaunti zote za nje zimefungiwa

Impossible,labda hayo mataifa yafunge sio serikali ya Tanganyika

Mimi mwenyewe siamini kabisa. Hiyo kazi anaiweza Xi Jiping rais wa China. China ni nchi kubwa takriban mara 10 ya Tanzania lakini kwa mafisadi haiwatoshi tena. Rais ametangaza vita na mafisadi, kufunga akaunti zao nje ya nchi hadi atakapojiridhisha namna walivyopata hizo fedha. Hakuna cha "kujipima" huko China mwizi yeyote bila kujali cheo chake ni kufilisiwa na kushtakiwa mahakamani. Yule ndiye rais wa Wapiga kura sio huku rais wa mafisadi.
 
Watu wanaangaika kutafuta mada za kuwatoa watu kwenywe escrow, endeleeni
 
Kitu kama hicho kuweza kutokea ni lazima nchi iwe na Rais Mzalendo, shupavu, shujaa na mwenye maono. Katu chini ya Kikwete hilo haliwezi kutokea.
 
Mimi mwenyewe siamini kabisa. Hiyo kazi anaiweza Xi Jiping rais wa China. China ni nchi kubwa takriban mara 10 ya Tanzania lakini kwa mafisadi haiwatoshi tena. Rais ametangaza vita na mafisadi, kufunga akaunti zao nje ya nchi hadi atakapojiridhisha namna walivyopata hizo fedha. Hakuna cha "kujipima" huko China mwizi yeyote bila kujali cheo chake ni kufilisiwa na kushtakiwa mahakamani. Yule ndiye rais wa Wapiga kura sio huku rais wa mafisadi.
Profesa hana ubavu wa kupiga tanji akaunt za wezi manguli wa Tanzania,nasema hana hana hana na hatakua nao
 
Kuna taarifa account zote za viongozi wa serikali na wanasiasa wa vyama vyote wenye account nje zimefungiwa kwa muda ili ifanyike uchunguzi.Hata wale walioweka deposit na hata wale wafanyabiashara wa ujanja ujanja.

acha fiksi
 
Habarini ndugu hiyo haiwezekani, rais haezifanya akithubu hii nchi haitakuwa yetu, jeshi litaongoza wiki ijayo, tutamjua david balali aliko na amefichwa kwasababu gani!? Just wait wait you,will see all this is because no one is clean how dare you can clean wth your dirty.... Cdm.
 
Kuna watu wanasema kuwa tuombe iwe hivyo. Miye nakataa. Miye nitaomba tu mkate wangu wa kila siku ila sipotezi nafasi hiyo kuomba akaunti zisizojulikana ati zifungwe.
Nani anajua hizo akaunti zilipo?? Nani anayajua majina yalio funguliwa hizo akaunti? Yaani, hata wakizifunga, robo ya hizo pesa hawawezi kuzipata kamwe. Uchumi utayumba kwani ni hao hao wanaoushikilia kwa kuleta kidogo tu kuisaidia hii sirikali mufilisi. Siku ya sikukuu ya fisadi mmoja, anatoa HBD watu tunanunuliwa dawa, siku nyingine tunapewa mishahara.
Utafunga ipi. Hili ni neno lisilowezekana hata kidogo.
 
Back
Top Bottom