"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo anafanya mziki kazi.

Akaendelea kusema...for the time being akaunti yake ina "more than billion"

Hivi huyu jamaa anafaham billion moja ni million ngapi? au ni matambo tu! Hebu atokee mtu anishawishi manake nafsi yangu imekataa kbs kuamini...
 
Mbona ni vijisenti tu hivyo...
 
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kaka nadhani wewe hukusikiliza maongezi yote...sentensi yake ya mwanzo alitaja kwamba ana zaidi ya 1 billion tshs...
 
Ni million 100 mkuu acha upotoshaji au masikio yako yana kengeza?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hukuifuatilia ile interview vizuri
Ni 1 billion
Subiri nikutafutie link uichek vzr

Labda masikio yako ndio yana matege!
 
Sijajua kwa show moja huwa anapata kiasi gani, ila kumbuka anauza nyimbo pia ukiacha hizo shows...
Huenda pia amewekeza, usifikirie mapato kutoka kwenye muziki tu...

Hata kama mkuu, 1 billion sio kiasi kdg cha fedha, kwenye rank za matajiri ni tycoon huyo ujue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom