Akamatwa live na binti wa form two!

Akamatwa live na binti wa form two!

Wana JF, siku chache kabla ya PASAKA nilitoa angalizo kuwa, watu waitumie Pasaka vema, wazazi wawaangalie watoto wao hasa wa kike n.k. Sasa kuna kabinti ka form two hapa kwetu town alikuwa amepotea tangu jumamosi usiku alipo kuwa ameenda kwenye mkesha wa Pasaka, jana kutwa nzima hakuoneka, katika kutafutatafuta, vijana wakamtonya baba wa binti kuwa mwanao atakuwa kwa Emmanuel, leo hii mida ya saa 12 asubuhi, tukavamia nyumba ya akina Emmanuel na kumkuta bado kalala na mtoto wa form two! Hapo kilichoendelea ni kipigo na kijana kapoteza fahamu na hadi sasa hajaziduka, bado yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari! Sasa jamani, kwanini vijana wakazanie vitoto na watu wazima (wasichana) wamejaa tele? Kwanini tunatumia sikuu tena za kiimani kukwapua watoto wa watu?


leo ni tarehe 1/4/2013; asante sana.
 
Vibinti vidogo havina gharama,hapo ndo midume inatumia loop hole kuvitafuna maana ukikanunulia chips kavu ya buku,kanakubali kumegwa.Ninyi majimama na mabinti wakubwa punguzeni gharama ili kuwaokoa wadogo zenu.
 
ina maana jamaa alitaka kuoa kabsa au?

,,,,sio kuoa ndugu,,,ni matunda ya bongo fleva na mathilia yanayo endelea katika mastesheni ya tv zetu,,,ukifungua,,redio,,nyimbo,,,zina,,chochea,,,zinaa,,,,mapenzi,,,mapenzi,,tamthilia,,,vile,,vile,,,tena,,shetani,,,anawafanya,,watoto,,kwa,,wakubwa,,,,kuzipenda,,,,mno,,,,na,,,,mapepo,,,ya,,,zinaa,,yana,,waingia,,,kweli,,kweli,,,jamani,,,,uwezi,,,kupanda,,,maindi,,,,ukavuna,,,mchele,,,ukipanda,,mapenzi,,,utavuna,,,[mimba][ukimwi],,,,,,angalizo,,kwa,,tv,,,stesheni,,,na,,wasanii,,wasifurie,,kupata,,pesa,,nyingi,,,,ukuwakileta,,,madhara,,,makubwa,,,kwa,,jamii,,,yetu,,,wito,,wangu,,,watubu,,,na,,,kumrudia,,,mungu,,,la,,sivyo,,,ajali,,,na,,vifo,,,vya,,gafla,,,vitakua,,,juu,,yao,,,,mungu,,,atukuzwi katika,,,nyimbo,,wala,,,picha,,zao,,,bali,,,anatukuzwa,,,,shetani,,,,,
 
Form 2 ni kiwango cha
darasa lakini huja taja umri. Form 2 aweza akawa ana umri wa miaka 20.
kama ni hivyo Hapo haja vunja sheria kwani atakuwa amefanya kwa hiari na
wakimpiga wamemuonelea. Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata
mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.

Hata kama kabinti bado ni kanafunzi regardless of age bado atakuwa hajavunja sheria? Na wewe toa maelezo.
 
Emmanuel means Mungu pamoja nasi! Si ajabu Mungu atakuwa kamtosa na kupelekea watu kumwadhibu
 
Kufanya mapenzi na mtoto wa chini ya umri wa miaka 14 ndio kosa la jinai iwe ni kwa ridhaa yake au la, inahesabika wa umri huo hana ridhaa "consent".

Baada ya umri huo, kufanya mapenzi sio kosa la jinai kama binti ameridhia ila kosa ni endapo tuu mimba itatungwa!.

Kitendo cha huyo kijana kulala na binti wa form two sio kosa kisheria!. Kitendo cha kumtorosha kwao na kulala nae pia sio kosa kisheria bali ni kosa kijamii kwa sababu form ni chini ya umri wa majority ambao ambao ni miaka 18, hivyo huyo binti bado yuko chini ya uangalizi wa wazazi wake.

Kama kitendo cha kumtorosha kingepelekea hiyo binti kukosa masomo au kuacha kabisa shule, then ni kosa la jinai!.

Kitendo cha baba wa binti kumpiga huyo kijana wa watu ni kujitwalia sheria mikononi, huyo baba anapaswa kushikwa na kushitakiwa kwa shambulio la kudhuru mwili!. Kesi ya jinai ikiisha, kijana anamfungulia baba kesi ya madai kudai fidia ya kusababishiwa maumivu na kuvunjiwa heshima kuonekana kama mbakaji, wakati binti alikuja mwenyewe kwa mapumziko ya pasaka!.

NB hii isije nayo kuwa ni hii tarehe ya leo!.

Pasco.
 
,,,,sio kuoa ndugu,,,ni matunda ya bongo fleva na mathilia yanayo endelea katika mastesheni ya tv zetu,,,ukifungua,,redio,,nyimbo,,,zina,,chochea,,,zinaa,,,,mapenzi,,,mapenzi,,tamthilia,,,vile,,vile,,,tena,,shetani,,,anawafanya,,watoto,,kwa,,wakubwa,,,,kuzipenda,,,,mno,,,,na,,,,mapepo,,,ya,,,zinaa,,yana,,waingia,,,kweli,,kweli,,,jamani,,,,uwezi,,,kupanda,,,maindi,,,,ukavuna,,,mchele,,,ukipanda,,mapenzi,,,utavuna,,,[mimba][ukimwi],,,,,,angalizo,,kwa,,tv,,,stesheni,,,na,,wasanii,,wasifurie,,kupata,,pesa,,nyingi,,,,ukuwakileta,,,madhara,,,makubwa,,,kwa,,jamii,,,yetu,,,wito,,wangu,,,watubu,,,na,,,kumrudia,,,mungu,,,la,,sivyo,,,ajali,,,na,,vifo,,,vya,,gafla,,,vitakua,,,juu,,yao,,,,mungu,,,atukuzwi katika,,,nyimbo,,wala,,,picha,,zao,,,bali,,,anatukuzwa,,,,shetani,,,,,

Duuh..! Huu uandishi nao!!!
 
Wewe Emmanuel vipi nilishakuambia usitafute dogodogo zinazosoma hukunisikia tizama sasa yaliyokupata....!


Hivi ni huyu EmmanuelMakofia au?
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo mabinti wadogo nao ni kihere here chao ndio kinawaponza.
 
kha!!! wa form two watamu wee unataka tugegede waliozoea dushelele na wapo kibiashara zaidi

Daaaah pole yko mzabzab kumbe hujawajua kuwa watoto wa form two hao unaosema wa tamu ndo wamezoea dushelele mpk ameamua kulikeshea.......................!
 
Baba hana akili kabisa ....anampiga huyo kijana kwa kosa lipi...ashukuru mwanae kapata huduma anazokosa kwao

hivi wewe unawagozako wa kike kweli na bado wa o-level. kama huna ukija kuwa na watoto wa kike ndo utajua maunivu
 
Kametaka kenyewe coz hakajabakwa

kwa sheria za nchi hii,jamaa amebaka,ukikamua kabinti under 18,unakuwa umebaka consent is immaterial..inahesabika km umemrubuni as under 18 is considered to b too young kuchambua sound za mabazaz
 
Kwani hako katoto kalipiga kelele za kuomba karudishwe kwao?
Mtu wa kwanza kuadhibiwa ilikuwa huyo mtoto na wazazi wake. Watamuachaje mtoto bila ulinzi?
Huo ni upuuzi, watoto wanafeli mnalaumu walimu, umefanya nini upande wako?
 
Form 2 ni kiwango cha darasa lakini huja taja umri. Form 2 aweza akawa ana umri wa miaka 20. kama ni hivyo Hapo haja vunja sheria kwani atakuwa amefanya kwa hiari na wakimpiga wamemuonelea. Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.
acha ujinga we docta gani kigezo sio umri bali ni mwanafunzi wa secondary pumbavu we
 
Kama binti yupo 16 basi sheria ita fwata mkondo wake na yaweza kufanywa kuwa RAPE. Toa maelezo vizuri.
Sheria yenyewe ni ya kilevi.

Mtoto wa miaka 16 (hata 14 ) Tanzania inaruhusiwa kumuoa. Sasa, mtoto huyu ukimchakachua haramu, lakini ukimuoa kwanza halafu ndio ukamchakachua, halali! Which couldn't be more ridiculous kwa sababu kama kumchakachua mtoto ni mbaya basi unapomuoa ndio mbaya zaidi manake hapo sasa ni fungulia mbwa, unamchakachua bila kujificha, bila vipimo, bila huruma, na atake asitake.
 
Back
Top Bottom