aka "king maker"

aka "king maker"

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
RA.jpg
 
Huyu ni Harvard graduate ndio maana anawapelekesha anavyotaka.
 
halafu hapo havard ni kisima cha mafisadi? maana hata mzee wa vijisenti ni graduate wa hapo.
 
Hebu watanzania tuwe na "non spuriousness"- hivi huyu mtu ametukosea nini?, hivi kuna mkataba amesaini kwa niaba ya serikali? Mbona tunapindisha mwelekeo kwa nia ya kuwalinda watu walioharibu nchi yetu?: naomba tutaje wa tanzania walio na wanaoendelea kututesa. Na. 1: samweli sita- yeye ndiye alimpokea richmond na kumuwezesha kuwekeza ktk tz wakati huo Mh Sita ndiye alikuwa boss wa TIC, alitumia madaraka yake vibaya kwa maslah yake mwenyewe na kuliingiza taifa katika mgogoro mkubwa wa uzalishaji umeme na mzigo wa madeni. Wana jf, endelezeni orodha hii kwa upembuzi yakinifu.
 
Hivi ile kesi yake na Reginald Mengi iliishia wapi?
 
ama kweli ukipenda chongo............
 
Kama sipo vile!!!au naona makengeza?si rost ya hamu hii?ile jambazi inayotesa watanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom