Ak47?

Ak47?

View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47

Huyu jamaa alifariki mwaka 2012 if am not mistaken..! Silaha hatari sana hiyo.. Kinachoitofautisha na SMG ni uzito risasi inapotoka wakati SMG inakuwa nyepesi na kupelekea mkono kuyumba then missing the target.
AK 47 ya mrusi na SMG (56) ya mchina,ni silaha ipi utumika zaidi vitani?
 
Asante sana mkuu, ila nadhani sasa hivi inazidiwa na aina nyingine za bunduki.
Hapana, bado AK inatumika sana duniani, kuna version kadhaa za AK, kuna aina 13 za AK, na 47 nimojawapo katika version hizo na ndio ya mwanzo kabisa, ilitumiaka mwishoni mwa vita ya pili ya dunia. version latest kabisa niya mwaka 2014 ikiitwa Kalashnikov AK-12 ( Prototype AK_200).
 
Alishinda Nobel prize japo haikuifurahia na ni kweli alibaki na majuto maisha yake yote mpaka anakufa

Mshana sina kumbu kumbu rasmi kama huyu bwana alishinda Nobel Prize....kwenye category gani? Unajua vipengele vya mtu kupata tuzo tajwa?
 
Kuna documentary moja niliangalia kwenye viasat history, ngoja nitatafiti vizuri kuhusu hili
 
Ana nishani na tuzo anuai ktokana na ugunduzi/uvumbuzi wake...

Decorations

<dl><dt>Awards
</dt></dl>

  • State Prize of the Russian Federation in the field of design (1997)
  • Award of the President of the Russian Federation in the field of education (2003)
  • All-Russian Literary Prize of Suvorov (2009)

<dl><dt>Medals
</dt></dl>
  • Jubilee Medal "50 Years of Victory in the Great Patriotic War 1941&#8211;1945"
  • Medal "Symbol of Science" (2007)
  • Gold Medal of Zhukov
  • Medal "For outstanding contribution to the development of the collection business in Russia"

<dl><dt>Acknowledgements

</dt></dl>
  • Gratitude of the President of the Russian Federation (1997, 1999, 2002, 2007)
Soviet

<dl><dt>Honours
</dt></dl>
<dl><dt>
Medals

</dt></dl>
  • Medal "Hammer and Sickle" (1958,1976)
  • Medal "For Victory over Germany in the Great Patriotic War of 1941&#8211;1945"
  • Medal "Twenty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941&#8211;1945"
  • Medal "In commemoration of the 100th anniversary of the birth of Vladimir Ilyich Lenin"
  • Jubilee Medal "Thirty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941&#8211;1945"
  • Jubilee Medal "Forty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941&#8211;1945"
  • Medal "For Distinction in Guarding the State Border of the USSR"
  • Medal "Veteran of Labor" on behalf of the Presidium of the Supreme Soviet of the USSR
  • Jubilee Medal "30 years of the Soviet Army and Navy"
  • Jubilee Medal "40 years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "50 Years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "60 Years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "70 years of the Armed Forces of the USSR"
  • Medal "In Commemoration of the 800th anniversary of Moscow"
<dl><dt>Awards</dt></dl>
Foreign decorations

Other honours

  • the home of Mikhail Kalashnikov in the village he set Courier lifetime bronze bust (1980)
  • the name of the designer named projected prospect in Izhevsk (1994)
  • "Honorary Citizen of the Altai Territory" (1997)
  • Ministry of Economy of Russia award &#8211; The sign "of small arms designer Mikhail Kalashnikov" (1997)
  • Union of scientific and engineering organizations and the Government of Udmurtia established an award named after Mikhail Kalashnikov (1999)
  • Diamond company "Alrosa" extracted 29 December 1995 gem diamonds weighing 50.74 carats given the name "designer Mikhail Kalashnikov" (14.5 x 15, 0h15, 5 mm, quality Stones Black) (1999)
  • Mikhail Kalashnikov Cadet School in Votkinsk (2002)
  • Award in his name at the School of Weapon Skills of Izhevsk (2002)
  • Izhevsk State Cultural Institution "Museum of Mikhail Kalashnikov"
  • "Honorary Engineer of Kazakhstan" (Kazakhstan; 2004)
  • Gift from President Hugo Chávez, the highest award of the Republic &#8211; a copy of the famous sword of Simon Bolivar, which is a relic of Venezuela and the copy is equal to the highest award of the country (2009)
  • The name of Mikhail Kalashnikov was given to the military department of the Mining Institute in St. Petersburg (2009)
  • Izhevsk State Technical University was awarded the name of Mikhail Kalashnikov (2012)
  • German knife company Boker has dedicated a series to him (2013)

Documentary inabeba(ga) mazuri tu ya mtu i.e hagiography na wakati huo huo inaweza kubeba pande zake mbili i.e biography kutegemea tu na alicholenga author ama msimamo wake...ila kama alipata kupewa tuzo ya Nobel I'm standing to be corrected!
 
Inaitwa Automat Kalashnikova 47...... Jamaa alidhani anatengeneza silaha ya kuleta amani, kumbe mhhhhh.....

gr_hits_new_black.jpg

Automatische Kalash. . . . . . . .

Inasemekana mgunduzi alijuta sana baadaye
 
Ana nishani na tuzo anuai ktokana na ugunduzi/uvumbuzi wake...

Decorations

<dl><dt>Awards
</dt></dl>

  • State Prize of the Russian Federation in the field of design (1997)
  • Award of the President of the Russian Federation in the field of education (2003)
  • All-Russian Literary Prize of Suvorov (2009)

<dl><dt>Medals
</dt></dl>
  • Jubilee Medal "50 Years of Victory in the Great Patriotic War 1941–1945"
  • Medal "Symbol of Science" (2007)
  • Gold Medal of Zhukov
  • Medal "For outstanding contribution to the development of the collection business in Russia"

<dl><dt>Acknowledgements

</dt></dl>
  • Gratitude of the President of the Russian Federation (1997, 1999, 2002, 2007)
Soviet

<dl><dt>Honours
</dt></dl>
<dl><dt>
Medals

</dt></dl>
  • Medal "Hammer and Sickle" (1958,1976)
  • Medal "For Victory over Germany in the Great Patriotic War of 1941–1945"
  • Medal "Twenty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941–1945"
  • Medal "In commemoration of the 100th anniversary of the birth of Vladimir Ilyich Lenin"
  • Jubilee Medal "Thirty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941–1945"
  • Jubilee Medal "Forty Years of Victory in the Great Patriotic War 1941–1945"
  • Medal "For Distinction in Guarding the State Border of the USSR"
  • Medal "Veteran of Labor" on behalf of the Presidium of the Supreme Soviet of the USSR
  • Jubilee Medal "30 years of the Soviet Army and Navy"
  • Jubilee Medal "40 years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "50 Years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "60 Years of the Armed Forces of the USSR"
  • Jubilee Medal "70 years of the Armed Forces of the USSR"
  • Medal "In Commemoration of the 800th anniversary of Moscow"
<dl><dt>Awards</dt></dl>
Foreign decorations

Other honours

  • the home of Mikhail Kalashnikov in the village he set Courier lifetime bronze bust (1980)
  • the name of the designer named projected prospect in Izhevsk (1994)
  • "Honorary Citizen of the Altai Territory" (1997)
  • Ministry of Economy of Russia award – The sign "of small arms designer Mikhail Kalashnikov" (1997)
  • Union of scientific and engineering organizations and the Government of Udmurtia established an award named after Mikhail Kalashnikov (1999)
  • Diamond company "Alrosa" extracted 29 December 1995 gem diamonds weighing 50.74 carats given the name "designer Mikhail Kalashnikov" (14.5 x 15, 0h15, 5 mm, quality Stones Black) (1999)
  • Mikhail Kalashnikov Cadet School in Votkinsk (2002)
  • Award in his name at the School of Weapon Skills of Izhevsk (2002)
  • Izhevsk State Cultural Institution "Museum of Mikhail Kalashnikov"
  • "Honorary Engineer of Kazakhstan" (Kazakhstan; 2004)
  • Gift from President Hugo Chávez, the highest award of the Republic – a copy of the famous sword of Simon Bolivar, which is a relic of Venezuela and the copy is equal to the highest award of the country (2009)
  • The name of Mikhail Kalashnikov was given to the military department of the Mining Institute in St. Petersburg (2009)
  • Izhevsk State Technical University was awarded the name of Mikhail Kalashnikov (2012)
  • German knife company Boker has dedicated a series to him (2013)

Documentary inabeba(ga) mazuri tu ya mtu i.e hagiography na wakati huo huo inaweza kubeba pande zake mbili i.e biography kutegemea tu na alicholenga author ama msimamo wake...ila kama alipata kupewa tuzo ya Nobel I'm standing to be corrected!

Nimeipenda hii iko so detailed yawezekana kabisa niliona mojawapo ya hizo kwahiyo upon sahihi
 
La kukosa amani kwenye umri wa ukubwani lipo...alijisikia vibaya sana kwa weapon aliyovumbua kutumika vibaya kinyume na malengo yake (of which hata hivyo ilikuwa ni dhidi ya NAZI ya Hitler ) Lakini wakati huo huo taifa lake halitamsahau kwa uvumbuzi wake maana kama sio hii kitu perhaps Urusi huenda isingekuwepo kwenye uso wa dunia!

Mimi nadhani tukianza kujilaumu kwa yale tuliyofanya hata aliyevumbua kisu anastahili lawama maana kuku,mbuzi,kondoo,ng'ombe,ngamia, noah achilia mbali binadamu wengi amekufa sana kupitia hitu tuweapon tudogo tudogo tunakokaa jikoni na buchani!
 
Yeah ni sahihi lakini kwa aliyevumbua bomu LA nyuklia lile la Hiroshima japan lililoangamiza maelfu nadhani atabaki na majuto milele hata huko aliko

Niliwahi kuangalia mahojiano na yule rubani aliyeminya kitufe cha kuruhusu bomu lishuke ana ushuhuda wenye kutia simanzi mno! Kuna sentence moja aliongea akasema I WISH I COULD TURN BACK THE TIME
 
Ungeulizia kuhuku malipo na mahali kwanza MankaM
mshana jr hii imeshakwisha zamani sana, ndio maana nikakwambia kama yangu hiyo....
My love kabanga nijibie hapa
jibu limepatikana mshana jr nimuelewa sana...
kabanga huyu huyu au??
ndio mwenyewe kabisa...
Ndio mtani au una maoni juu ya hili
hana maoni hapo ma love MankaM...
Ni pongezi tu mtani amepata kilicho chema

ahsante...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom