Ak47?

Ak47?

View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47

yeah! Huyo jamaa alikiri kabisa kuwa 'nasikitika sana kuona siraha yangu ya Ak47 ikiteketeza roho zisizo na hatia' yeye yawezekana hakuweza kuona mbali madhara ya hyo siraha..

Ak47 ndio siraha iliyoimara zaidi kat ya siraha ndogo. Mataifa mengi yanaziboresha lakn haitazifikia hii siraha. Marekan alitoa m4 na china pia alitoa sample moja hivi ukiachana na smg lakn hii ngoma iko makini mno... Ukiangalia hata wababe wa kivita hasa Osama akiwa kwenye action zake alikuwa haiachi hyo siraha..
 
Hebu nipe mwanga kidogo, kwani hyo AK47 ndo siraha hatari zaidi? Mbona waliogundua aina nyingine ya siraha hawajutii kama huyu. Alafu kwa nini alijulikana sana kuzidi wagunduzi wengine?
Kwanza kujuta ni psychological hakuna uhusiano wa moja kwa moja na uhatari wa silaha, kwake hakujua kama ugunduzi wake ungekuwa na madhara makubwa kwa maisha ya binadamu kama ilivyokuwa kwa malengo yake ya kusaidia nchi yake!!!

Alijulikana sababu hiyo ni moja ya silaha zilizo/ zinazotumika sana na majesshi mengi (Data) inasemekana deflection ni ndogo, uwezo wake wa rounds per given time na range is still very impressing. Total length (Barel included) yaweza kuwa ni nzuri kwa close range combat na manouvrebility (Weight :size ratio)
Nadhani pia kuna fakta ya bei (sikumbuki vizuri) kati ya AK47, American A4, Galaz ya Israel!!!

Wataalamu watakuja kurekebisha!!!
 
yeah! Huyo jamaa alikiri kabisa kuwa 'nasikitika sana kuona siraha yangu ya Ak47 ikiteketeza roho zisizo na hatia' yeye yawezekana hakuweza kuona mbali madhara ya hyo siraha..

Ak47 ndio siraha iliyoimara zaidi kat ya siraha ndogo. Mataifa mengi yanaziboresha lakn haitazifikia hii siraha. Marekan alitoa m4 na china pia alitoa sample moja hivi ukiachana na smg lakn hii ngoma iko makini mno... Ukiangalia hata wababe wa kivita hasa Osama akiwa kwenye action zake alikuwa haiachi hyo siraha..

Sahihi, Zastava m70 pia ni derivative ya Kalash!!
 
Ni mila na desturi yao kama vile wamasai wavaavyo mashuka

Sio siraha......ni SILAHA.......
Na sio kuhunda.........ni KUUNDA.........
eeeh ndio....... Mshana Jr.......

halafu........naweza kuipata wapi yangu nijilinde na Panya road.......?........
 
Last edited by a moderator:
Preta, acha masihara, yaani unataka AK47 kujilinda na Panya road? Panya road n wa mkwara we maneno tu

Wewe Panya road hujasikia habari yao vizuri........tena wewe ninavyokuona.......ungeelewa vizuri......ungeagiza LOCKHEED AC-130 SPECTRE GUNSHIP..........wallah nakwambia...........
 
mama mwanamgambo na AK47, bila shaka atakuwa amevalia na suicide vest
 
Sio siraha......ni SILAHA.......
Na sio kuhunda.........ni KUUNDA.........
eeeh ndio....... Mshana Jr.......

halafu........naweza kuipata wapi yangu nijilinde na Panya road.......?........

Hahahahaaaa dada sitaki ugomvi zaidi na geshi la porisi, Nimevurugana nao sana wiki hii mpaka wakasurrender
 
Last edited by a moderator:
Wewe Panya road hujasikia habari yao vizuri........tena wewe ninavyokuona.......ungeelewa vizuri......ungeagiza LOCKHEED AC-130 SPECTRE GUNSHIP..........wallah nakwambia...........

Una hatari mdada!!!
 
Back
Top Bottom