Ak47?

Ak47?

Mkuu tofauti kubwa ya AK47 Na SMG kiutendaji ni ipi?

Ipi inatumika sana kwenye Vita? Na kwanini?

Sub Machine gun ni ya mchina ambayo ndiyo tunatumia Tanzania na risasi yake inatembea umbali wa km 2.6 na AK47 ya mrusi inauwezo zaidi risasi inatembea 7km na South Africa wanatengeneza wao wameibilesha inatembea km 9 ingawa itafika km hizo inakuwa haina madhala tena.
Tanzania haikuwa ba mkataba wa kutumia silaha za AK47 ila baada ya majambazi ya kirundi na Rwanda kuwa inatumia silaha hizo tumeanza kutumia japo siyo nyingi, kama unakumbuka majambazi kipindi fulani Kawe waliua askari wetu Defender zima na mbwa wakikuwa wanatumia AK47
 
Obit Kalashnik dec 23.JPG

July 26, 2002 - FILE photo of Russian weapon designer Mikhail Kalashnikov presenting his legendary assault rifle to the media while opening the exhibition "Kalashnikov - legend and curse of a weapon" at a weapons museum in Suhl, Germany. Kalashnikov died at the age of 94.

 
Mkuu kama nakumbuka vizuri, nadhani tatizo lilikuwa katika masuala ya Management ya kiwanda hicho, lakini kuseme kilipata matatizo kutokana na AK47s kukosa soko hilo siamini actually wamehunda model nyingine ya kisasa kabisa, wanahunda za kijeshi na za kiraia. Kitu kingine hizi AK47s zinaundwa na Mataifa mengi kwa kibali cha Urusi hasa Mataifa ambayo yalikuwa rafiki wa Urusi (Ulaya ya mashariki, China, Korea nafikiri na Cuba)

Kinakaribia kufilisika sio kwa kukosa soko bali ni kutokana na vikwazo ambavyo Rashia imewekewa kutokana na mgogoro wa Ukraine....
 
AK 47(angalia kuku 4s).
Siku mtanzania ukibuni silaha,utajutia inteligencia zitakachokufunya.
 
Back
Top Bottom