Ajitokeza kumfufua NYERERE


Hawa wa dini hiyo,huwa wanaamini mambo ya uchawi na miujiza,usishangaye ndio kawaida yao.
 
Si aanzie kufufua wafu wa huko mbeya kwanza, kabla hajapelekwa anapotaka yeye,
kufufua yeye na kutabiri yeye!
 
Kwan hawa wa dinii Hii na hao wengine WAP huwa wanakabidhiwa majini ya kuwalinda tangia wakiwa wadogo na ni wapi ni watabiri na wanajimu???
 
mumpeleke haraka hospitali ana kichaa cha mbwa
 
Sim'bishii huyo babu anasema kweli kabisa, hivi hamjui kwamba hii nchi inaongozwa na mizimu? 75% ya viongoz wa CCM na serikali yao wote ni mizimu tu, wenyewe walishakufa muda mrefu sana na hii iliyopo sasa ni mizimu yao!


Mhhhhhhhhhhhhh! Usitishie watoto wakashindwa kulala usiku.
 
Kabla hajasema CCM itashinda 2015 aulizwe kuna vyama vingapi nchini?yaweza kuwa ndio wale wazee wanaodhani bado tuko enzi ya chama kimoja...by the way pia atupatie na historia yake kwenye utabiri mpaka sasa.
 
Psychiatry hii apelekwe mirembe fasta coz atasumbua watu sana.
 
Alianza vizuri, mwishoni akaboronga, hivyo amechemka moja kwa moja, hamna atakalofanikiwa!
 
Hahahaaaaa wonderz never end ..kwakweli..!!sometimes ukiwa na stress usikimbilie viroba vinakwangua utumbo ingia JF tu utamaliza stress zako zooooote
 

Imani inapokuwa mzigo
 


Kama Mungu aliumba watu wengi na kila mtu anafinga print tofauti na mwenzake nadhani pia kuna tofauti ya kuamini kwamba ufufuko utafanywa na Mungu pekee.
 
Hizo ni laana za uzeeni, anashindwa kukaa nyumbani na wajukuu zake kupindi hiki cha baridi aote moto anazurura barabarani na hoja zake zisizokuwa na msingi. kwanza ccm wenyewe hata Yesu arudi leo na kutaka kumrudisha Nyerere hawakubali hata kwa dawa maana wanajua hawezi kukubaliana nao katika haya wanayoyafanay
 

SAHIHISHO:Jenerali Mboma si mnyakyusa na wala hatokei kyela,kabla lake ni mmalila kutoka ileje,mbeya.
 

Mwigulu Nchemba Njoo umchukue huyu mzee atawaongezea sana umaarufu!!
 
Last edited by a moderator:
Sim'bishii huyo babu anasema kweli kabisa, hivi hamjui kwamba hii nchi inaongozwa na mizimu? 75% ya viongoz wa CCM na serikali yao wote ni mizimu tu, wenyewe walishakufa muda mrefu sana na hii iliyopo sasa ni mizimu yao!

Du!!we ndo umeua bendi kabisa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…