Ajiri huyu dada akufanyie biashara yako kwa uaminifu mkubwa

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,729
Reaction score
3,933
Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote.

Umri: 26 yrs
Elimu: Form 4
Makazi: Dar es salaam

Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande zote mbili.
 
Anaweza kutembeza juice?
 
Una Mali isiyohamishika , anataka kulipwa shilingi ngapi Kila kitu humo na kula na je yupo tayAri kwenda mikoani ama anataka dar pekee
 
Anahitaji kazi isiyo Mobile.
Maswala ya malipo ni makubaliano yenu.

Kuhusu mali ipo bila shida, kubwa zaidi uwe na mkataba tu msainishane
 
Back
Top Bottom