Ajira za Utendaji Mpanda interview wameripoti watu 800. Wanahitajika 16

Nyani Mzungu

Member
May 29, 2020
45
58
Poleni watanzania wenzangu.

Mliopo hapo muda huu mkifanya mtihani wa kuwania nafasi 16.

Nimehuzunika sana kama Kijana kuwaona wadogo zangu ,kaka zangu na wengine wananizidi umri wakipangwa makundi makundi katika kufanya mtihani wa mchujo kuwania nafasi 16 za utendaji.

Uchumi wa Kati
Inauma
Inahuzunisha sana

Kuna wengine wametoka mikoa tofauti kusafiri hadi Mpanda. Poleni Sana na kamshahara ka utendaji nazidi kuwahurumia vijana.
 
16 out 800 si ratio mbaya kwa hali ya ajira kwa sasa.....
Miaka kadhaa iliyopita Kwa Mkapa kulijaa na ajira hazikutoka.
 
Serikali Ina Hazina Kubwa Sana Ya Vijana Wengi Sana
Muhimu Sana Tumpe Tena Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Magufuli Amalize Tena Mitano
Ajira Zitaongezeka, Atake Asitake Mpaka Afie Kwenye Kiti
 
Ndio safi,hapo kama hakuna upendeleo ndio watampata mtu sahihi kwa umati huo,michujo inatakiwa iwepo mingi
 
tangu lini upendeleo kwenye ajira tz umekoma

Awamu hii kupitia utumishi umepungua sana mkuu,zamani taasisi za serikali zilivyokuwa zinaruhusiwa kuajiri zenyewe bila kupitia utumishi hali ya kubebana ilikumuwa kubwa mno
 
Poleni watanzania wenzangu.

Mliopo hapo muda huu mkifanya mtihani wa kuwania nafasi 16.

Nimehuzunika sana kama Kijana kuwaona wadogo zangu ,kaka zangu na wengine wananizidi umri wakipangwa makundi makundi katika kufanya mtihani wa mchujo kuwania nafasi 16 za utendaji.

Uchumi wa Kati
Inauma
Inahuzunisha sana

Kuna wengine wametoka mikoa tofauti kusafiri hadi Mpanda. Poleni Sana na kamshahara ka utendaji nazidi kuwahurumia vijana.
Ao waendesha usaili na kuleta upendeleo ni kujitafutia lahana tu mtu anatoka wapi huko mbwinde majembe kuinama na nauli anakopa alafu nafasi unampa mtu kwa magendo
 
Poleni watanzania wenzangu.

Mliopo hapo muda huu mkifanya mtihani wa kuwania nafasi 16.

Nimehuzunika sana kama Kijana kuwaona wadogo zangu ,kaka zangu na wengine wananizidi umri wakipangwa makundi makundi katika kufanya mtihani wa mchujo kuwania nafasi 16 za utendaji.

Uchumi wa Kati
Inauma
Inahuzunisha sana

Kuna wengine wametoka mikoa tofauti kusafiri hadi Mpanda. Poleni Sana na kamshahara ka utendaji nazidi kuwahurumia vijana.

Ulitaka wafanyaje ?
 
Back
Top Bottom