Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
acheni kuwadanganya vijana majibu anayo dk.kawambwa iyo ni idadi ya walioajiliwa 2014 ila ajira zitatoka walimu 2015

umeongea ukweli naona watu wanajidanganya hadi wanatumiana sms kwa taarifa za mwaka jana...
 
Hapa naona heresay tu,hakuna vivid data kuhusu ajira mwaka huu, kla,mtu asema lake, nadhan busara ni kusubir tamko rasmi kutoka wizara huska. Maana mtu anasema znatoka april ukiomba atume document alipopata taarfa anapga chenga.
 
Ni kweli tunazitaka post za ualimu ila changamoto iliyopo ni kuwa wengi wetuvni walimvwa art ambao serikali imesema tumetosha
 
Ni kweli tunazitaka post za ualimu ila changamoto iliyopo ni kuwa wengi wetuvni walimvwa art ambao serikali imesema tumetosha

Hata kama wametosha bado hitaji lipo lingine kwa serikali ambalo ni ajira kwa vijana. Kwahiyo wanamaanisha tumepoteza muda na pesa za wazazi bure kusomea ualimu? Wakati serikali yenyewe ndo ilituhamasisha kusomea ualimu, kwa hili ndo utatambua kwamba kweli aliyeshiba hawezi kumukumbuka mwenye njaa.
 
Kwa mujibu Wa maelezo ya viongizi mbalimbali Wa wizara ya Elimu ni kwamba walimu wameshatosha isipokuwa walimu Wa sayansi so walimu mnaosubiri ajira kaeni mguu mmoja ndani na mmoja nje jipangeni kuanzisha ujasiliamali mane no hay a yameongelewa ktk maeneo tofauti tofauti na waziri Wa Elimu;

Katibu mkuu na Naibu waziri Wa elimu
 
Mi nashangaa sana hii serikali walimu gani waliotosha ukienda vijijini shule moja walim 2 wakizidi 13. Ndo uwiano huo kweli? Shule inawanafunzi 500 hadi 900
 
Hivi huwa wanafanya utafiti wa kutosha hadi wanagundua kuwa walimu wanatosha? Mbona huku ni kudanganyana? Walimu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi hususani shule za Kata
 
Hizo zote ni fununu,subirini tamko rasmi toka serikalini kuwa hakuna ajira.Wengine wapo kuwaumizeni mioyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom