Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Ajra mpya walim 2015. jumla walmu 36,071. ngaz ya chet n 17,928, dploma n 5,416, shahada n 12,677. kat ya hao walimu 36,021 watakuwa chini ya TAMISEMI na walimu 50 watakuwa chin ya wizara ya elimu.

Upungufu unaobak n walimu 21,684 utaisha mwaka kesho. ajra zitatangazwa mwez ujao na walimu wataanza kuripot kuanzia tarehe 1 april. mjulishe na mwenzio.

Kama unataka source nifate nyumbani kwangu ova
 
ajra mpya walim 2015. jumla walmu 36,071. ngaz ya chet n 17,928, dploma n 5,416, shahada n 12,677. kat ya hao walimu 36,021 watakuwa chini ya TAMISEMI na walimu 50 watakuwa chin ya wizara ya elimu.

Upungufu unaobak n walimu 21,684 utaisha mwaka kesho. ajra zitatangazwa mwez ujao na walimu wataanza kuripot kuanzia tarehe 1 april. mjulishe na mwenzio.

kama unataka source nifate nyumbani kwangu ova

April fools
 
Ajira zinatoka tarehe 20/3/2015 na kuripot tarehe 1/4/2015 jumla ya walimu 36071 wataajiriwa; Upungufu wa walimu wanaokosa ni walimu 21036 na tatizo hilo litaisha mwakan 2016.
 
Acheni kuwadanganya vijana majibu anayo dk.kawambwa iyo ni idadi ya walioajiliwa 2014 ila ajira zitatoka walimu 2015
 
ajra mpya walim 2015. jumla walmu 36,071. ngaz ya chet n 17,928, dploma n 5,416, shahada n 12,677. kat ya hao walimu 36,021 watakuwa chini ya TAMISEMI na walimu 50 watakuwa chin ya wizara ya elimu.

Upungufu unaobak n walimu 21,684 utaisha mwaka kesho. ajra zitatangazwa mwez ujao na walimu wataanza kuripot kuanzia tarehe 1 april. mjulishe na mwenzio.

kama unataka source nifate nyumbani kwangu ova

kaa kimya unaona ufahari kupost takwimu za mwaka 2013/2014.
 
Hakuna mwenye data, sahihi.

Japo hali inatisha. Tusubr tamko kutoka serikalni.
 
Hahahaaa KICHU tatizo kitaaaa kinaboa kinomaaa watu wamesha graduate then wamesizii kitaaani tu
 
duh! Mkiajiriwa mtanipa hope ninayesuffer bado na cozwek za UD kwamb 2016 nawez kubahatish.
 
du mkiajiriwa mtanipa hope ninayesuffer bado na cozwek zaUD kwamb 2016 nawez kubahatish

Nyie mtaanza kupigwa interview nafasi zikipatikana ili kuziba hizo zilizowazi, hivyo anza kutafuta connections kwenye halimashauri mbalimbali na rushwa kidogo.
 
Du itafahamika tu ,unaanza kuhonga na kati hata kumaliza bado itakuw ni shiigda kwa kwel
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom