Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
ajira mwezi wa pili wata waajir wote ila kama una matatizo kwa mfano uli cary n.k uwez ajiriwa kwa kipind hiko
 
Anachokizungumza EVZ ndicho nilichokisikia kwa masikio yangu katika kikao cha bunge kilichopita, waziri wa ajira na utumishi wa umma alitangaza kisitisha ajira za walimu hasa walimu wa sanaa(arts) na alidai walimu wapo wa kutosha, na hovyo

Ajira zitatoka kwa awamu kulingana na mahitaji kwamazingira haya inadhuhirisha wazi ajira kwa walimu hakuna na watakao ajiliwa mojakwa moja ni walimu wa sayansi tu, hapo mlio hitimu inabidi kujiandaa kisaikolojia
 
ajira mwezi wa pili wata waajir wote ila kama una matatizo kwa mfano uli cary n.k uwez ajiriwa kwa kipind hiki

Haaaaaaa yangu macho mwezi wapili au wanne mkuu usiwape pressure watu hapa
 
Nasikitika kwa kua kila mtu anasema mawazo yake nasio ukweli wenyewe,,,mnatupa pressure bulee
 
wote ni lazma waajiriwe,tena kwa mda muafaka,mwaka jana walisema meng cna,mwisho wa siku wat walipangwa vituo,hiz taarifa hazina ukwel wowote,jipen moyo mtafka,ila mwaka huu walim weng tegemeen kwenda vijjn,coz mijn kumejaa,so ukipangwa kijjn nenda haraka sana,
 
Haswaaaaaa
 
wote mliochangia naona hamna ujuz wowote mpo gizan 2 cha kufanya ni kusubir tamko kutoka serikalin.
 
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
 
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
 
Acheni presha nyinyi, ajira hakuna mbna hamuamini nyie waalimu ?
 
wate wachangia hoja tu na wajibu maswali mlio pewa jibu analo DR.shukuru kawambwa baba wa elimu anae maliza muda 2015
 
Post za kwamba umechaguliwa kwenda halmashauri ipi itakuwa 15 march.. Kuripoti itakuwa 30 march.. But wataajiriwa wengi ila priority itakuwa walimu wa science... Am sure but informal. Not consider
 
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
:clap2::clap2::clap2:

kama ni chuo cha serikali ni kuzur sana ukipata nafav usizembee nenda ila kama ni chuo binafsi asee sikushauri hata kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom