Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Kuweni wapole ajiraaa zipooooo.
Sawaaa ngoja tutulie ila sina uhakika kama tutaajiriwa wote.
Kama wewe ni mwalimu wa kiswahili na civics au history sahau. Only science teachers will be the first to be mentioned!!
Mamaaaa! Alafu sisi wa arts ndo wengi sana na kibaya zaidi, hadi shule za private hatupati kazi kisa tupo wengi au ukifanikisha kupata mshaara hauzidi laki mbili.
Hii ya tarehe 14 inatokea wapi wadau?
Hahahaha.... Nimetania tu. Tutapata tu wote. Tarehe 14 february watatangaza na tarehe 1 March tupo mzigoni wote. Hakuna cha sayansi wala hechi kunani, wote tutakuwa mzigoni. We just stay tuned!!
Hapo afadhali mkuu kidogo umerudisha matumaini, maana hatuna kimbilio kwakweli, serikali ituonee huruma. Ikumbuke kuwa wengi tunaosomea ualimu ni watoto wa wakulima hivyo tungesomea kozi nyingine hatungepata kazi, hatuna connections na pesa za kuonga ili kupata kazi.
[/color]
Pole sana! kaka tutapata tu Mungu yu pamoja nasi.. umeongea kwa hisia sana
Yan mi nmechoka kuckia.. Bora niassume hakuna ajira ili nijiajiri tu.