Poleni kwa kuwa wavumilivu siku zote,taalifa nilizonazo ni kwamba tayar allocation ya majina yamefanyika na kuna ndugu yangu yy mjomba wake tayar ameshajua anakwenda wap hivyo soon mzigo utaachiwa kwani kuna ukamilisho mdogo tu unakamilika

Acha pumba. Kichwa chako kinafanana na akili yakiMkuu labda tuwakope ajira zenu muanze kazi ili kelele zipungue tutaanza kuwalipa baada ya uchaguzi. Pesa zote tumezitoa hazina tumezipeleka BVR , kofia t- shirt na kanga, nyngine tumetenga kusambaratisha UKAWA
Ni mwaka sasa tangu tuhitimu lakini serikali iko kimya tu kuhusu ajira za walimu, sasa najiuliza serikali imesahau au ni mkakati gani unaendelea? Nadhani uchaguzi ujao tunahitaji kubadili serikali tuweke serikali itakayo mudu kwenda na mabadiliko ya kiutendaji kwakasi inayohitajika
maana sasa tumechoka na siasa uchwara hizi zinarudisha nyuma maendeleo
Ni mwaka sasa tangu tuhitimu lakini serikali iko kimya tu kuhusu ajira za walimu, sasa najiuliza serikali imesahau au ni mkakati gani unaendelea? Nadhani uchaguzi ujao tunahitaji kubadili serikali tuweke serikali itakayo mudu kwenda na mabadiliko ya kiutendaji kwakasi inayohitajika maana sasa tumechoka na siasa uchwara hizi zinarudisha nyuma maendeleo