Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Hizo zote ni fununu,subirini tamko rasmi toka serikalini kuwa hakuna ajira.Wengine wapo kuwaumizeni mioyo.
Well said mkuu
Hizo zote ni fununu,subirini tamko rasmi toka serikalini kuwa hakuna ajira.Wengine wapo kuwaumizeni mioyo.
Maskini walimu wetu
Ashang'atuka tayariMpaka MUONGO atoke😡😡😡
Hivi huwa wanafanya utafiti wa kutosha hadi wanagundua kuwa walimu wanatosha? Mbona huku ni kudanganyana? Walimu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi hususani shule za Kata
Oyeeeeeee daah huyo mtoa post jambo la kwanza anapaswa kutupa chanzo cha habari yake.
Then hivi unadhani walimu tunao muda wakutembea na bahasha ya kaki mji mzima?
mh utatoa copy vyeti vyako mpaka vitafifia maandishi kwaapplication.
Walimu kueni wavumilivu juzi ndugu yake na Kasimu majaliwa jamaa mmoja tumepiga naee chuo alimuuliza Mkubwa alijibiwa akae tayari na vyeti vyake vyote Next Month kitu Out