hii ni SEDEP II ambapo mwisho wake ni 2015. kwa hesabu hii mwaka huu ajira zitatolewa ila mwakani ndio kunakuwa na mashaka maana hakuna SEDEP III
CHA pili bajeti ya kuwaajili walimu mwaka huu ilishapitishwa katika mwaka wa fedha wa serikali. hivyo ajira zipo
ajira zipo ila hawataajiriwa wote kama ilivyotangazwa kuanzia mwaka huu. Bajeti ya tanzania ni dificity hvyo kama unategemea bajet iliyopitishwa 2014-15 haiwezi ikakidhi tuwaajiri walimu wote.