Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Waalimu 2015 wote mnaajiriwa wenye wivu wajinyonge
 
Wajinyonge kisa waalimu wanaajiriwa??? Komaeni kudai maslahi mazuri zaidi. BUMIJA
 
Last edited by a moderator:
Sera ya elimu inajumuisha maboresho ya walimu
 
Isizidi tarehe 10 /3/2015 uwe umetipoti kituoni. Hakikisha umenunua mbegu za kilimo na dawa za mifugo maana huko mikoani kuna fursa wazee. Usiniulize nimetoa wapi? Au ka vp subiria mtandaoni

Ha ha ha ha ha ha ha duh
 
Kutolewa tamko la pm mh mizongo pinda kuwa serikali ina mpango wa kuajiri walimu zaidi ya elfu 35000 na kuendelea kuwa walimu wataajiriwa wakati wote bila kusema lini wataajiri pia kuna utata.

pm ndiye mtendaji mkuu wa serikali hawezi Sema kitu chenye maslahi ya Taifa bila kuwa uhaki! Kwanini hakuambia umma kuwa kwa sasa kitu gani kinaendelea ili kuwaondelea walimu wasisi??
 
tanzania_logo.jpg
[h=1]Ministry of Education and Vocational Training[/h] This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu.

wanawawekea ajira... shortly.
 
Ministry of Education and Vocational Training

This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu.

wanawawekea ajira... shortly.

Iko hivyo for more than two weeks
 
Ministry of Education and Vocational Training

This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu.

wanawawekea ajira... shortly.

Kwa anaefahamu stashahada ya ualimu huwa wanaaply vipi anisaidie. Nimeona kwenye web ya nacte muda wa kutuma maombi umeongezwa ila ndo sijui huwa wanaaply vipi na vigezo vyao vipoje.

Mwenye details anijuze maana kule mtandaoni hakuna info za kutosha zaidi tu wametoa taarifa ya kuongeza muda hadi feb 28.

Cc: geniveros
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom