Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
[QUOTEb=Mbuzi mzee;11942335]Eti wadau ajira mpaka mwezi wa sita....eti katangaza waziri,yana ukweli hayooo[/QUOTE]

ni wa 12
 
Hivi mshaanza kuaga na kupak, maana muda mchache sana. March 2 mnatakiwa muanze kureport msiniambie taarifa natoa wapi?
 
Hv kwa wale mnaosema ajira za walimu mwaka huu hamna.. sijui serikali haina pesa... hv niwaulize mshawahi kusikia hata siku moja serikali ikatangaza kuwa ina pesa... msiwe km wageni na serikali zetu za kibongo...kila cku serikali itakwambia hamna pesa afu ukicheki mambo mengine yanatekelezwa km kawaida... xo hili suala la kuajiri walimu lilishapangwa tangu zamani.. kilichobaki tu ni kudisplay majina tu.. upangaji wa vituo ulishakamilika mda mrefu tu...
Jamani walimu msikatishwe tamaa na watembea na bahasha za kaki hao..
 
Oyooooo watembea na bahasha za kakiiii mlitutesa sana vyuoni na coz zenu za kibishooo eti mimi napiga BA in accountant haya sasa kafieee mbali na uhasibu wako walimu JUUUUUUUU
 
April tena wataajir kwa Makundi.... Daaah hii Ndio bongo mimi mwalimu wa kiswahili cjui ntaajiriwa lini??? Source wilayan...
 
kwa uelewa wangu mdogo walimu ni watu muhimu sana,nawaombea dada zangu na kaka zangu mpate ajira zenu mapema,wewe uliesomea coz za million usiwakatishe tamaa vijana wenzio,#usikatetamaa
 
watakoma tuu..cc tunasubiria posti zetu tuu..na wakiandamana kutaka waajiriwe wapigwe tuu
 
Isizidi tarehe 10 /3/2015 uwe umetipoti kituoni. Hakikisha umenunua mbegu za kilimo na dawa za mifugo maana huko mikoani kuna fursa wazee. Usiniulize nimetoa wapi? Au ka vp subiria mtandaoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom