Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Mimi najua lazima uwe na principal pass mbili na S moja.then uwe na cheti cha fm 4 na cha kuzaliwa.

Then unaidownload form au unaijaza pale pale on line
 
But nakushauri uende fasta wizara ukachukuee form au nacte coz wanazitoa buree au kama unahivyo vigezo andika barua ya kuapply kuomba chuo ambatanisha na cheti cha fm six,four na chakuzaliwa pamoja na picha mbili then wapelekeeeee utakua umeshapata chuo
 
Wazee wanafanya kazi jamani tusubiri ajira zinakuja kila mwaka huwa zanatoka march

Miaka ipi Mkuu tofaut na mwaka jana then sababu ya mwaka Jana ziko wazi bunge la katiba or? So kama hamna proved information msiweke comments jaman wapo ambao wanategemea hizi updates guys
 
Wiki imeanza wadau updates plz.. Tuendelee kuweka subira mpka trh ngap hvi
 
Wiki imeanza wadau updates plz.. Tuendelee kuweka subira mpka trh ngap hvi

Bridal masks hapa lazima upige moyo konde mdau bdo Sana Ingekuwa Karb pm angesema ila wakati wowote ni maana kuwa yeye mwenyewe hajui ila anachojua ni kwamba wataajiri walimu 35000 mwaka huu
 
Bridal masks hapa lazima upige moyo konde mdau bdo Sana Ingekuwa Karb pm angesema ila wakati wowote ni maana kuwa yeye mwenyewe hajui ila anachojua ni kwamba wataajiri walimu 35000 mwaka huu

yy mwenyewe hajui?? Hapana sio kweli anajua ni lini watatoa mm naamin hvo. Tuvute subira
 
Aisee ingekuwa vizur ma afisa wa tamisemi wangeamka na kutolea ufafanuzi hili swala,

Kwanini twende kama vipofu walimu wanaitaji kujianda kwani kama wanafanya ujasiliamal waweze kupanga vizur mambo.
 
Oresto Umeongea jambo la msingi sana.

Kama wamo humu JF kwanini wasitoee walau info ilituweze kujipanga.
 
Oresto Umeongea jambo la msingi sana.
Kama wamo humu JF kwanini wasitoee walau infro ilituweze kujipanga

Ni Kweli wangesema kuwa kwa sasa wanafanya nini kuhusu ajira kuliko kutuacha njia panda kuwa wakati wowote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom