Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Juzi tu kulikua na kikao cha kuidhinisha majina na kuandaa PESA ya posho we unaleta ujinga....

Kumbe mtoto chips Mayai ndio maana uwezo Wa kufikiri huna...

Pathetic fool...
Usichanganywe na propaganda za vikao vya serikali wwe kima...............ndo BRN ya kwenye maandishi hiyo,su******cker
 
Tapika hizo chips yai ukalale sikujiunga JF kucheza na watoto.
ah haha haha haha ahaaa.............thats why i never take JF serious, usije ukavunja screen ya PC yako kwasababu ya kubishana na mtu amabaye hata humjui, kubishana na mmi utavimbisha tu vidole vyako na kung'oa button za keyboard
 
mikatabafeki

Ning'oe button au nivimbishe vidole kwa dume mla chips mayai usiyejielewa?

Kweli dunia haina haki....
 
Last edited by a moderator:
Juzi tu kulikua na kikao cha kuidhinisha majina na kuandaa PESA ya posho we unaleta ujinga....

Kumbe mtoto chips Mayai ndio maana uwezo Wa kufikiri huna...

Pathetic fool...
Chips zimeharbu ubongo wake
 
hivi huwa wanafanya utafiti wa kutosha hadi wanagundua kuwa walimu wanatosha? Mbona huku ni kudanganyana? Walimu ni wachache sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi hususani shule za kata

fungu lisipokuwepo,wanasema wametosha.
 
Juzi tu kulikua na kikao cha kuidhinisha majina na kuandaa PESA ya posho we unaleta ujinga....

Kumbe mtoto chips Mayai ndio maana uwezo Wa kufikiri huna...

Pathetic fool...

pwa hahaa umempa makavu live...
 
Pesa za barabara na REA zimepunguza deni la taifa, pesa za ajira walimu zimelipa posho za kujikimu wajiriwa wapya kupitia utumishi mana walikuwa wengi.
 
ninachokiamin JF ni sehem yenye experties wa kila field, haya nyie mlioko tamisemi tupen kinachoendelea bas
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom