Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Punguzeni jaziba walimu tunashughulikia swala lenu hasa walimu wa sayansi ndo maana tuna jenda maabara kila shule.. Kuweni wapole..!! Ila kumbukeni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jaman hilo gazet nililiedit mimi kupitia photo funia na hyo picha ni ya graduation ya udsm 2014 nilikuwa nawatania wadau wa udsm so dont take it serius maana ukichunguza tittle na maudhui haviendan
 
utawaua wenzako kwa presha...hahahaaa
 
Niko naongea na mwl mkuu ananiambia d.e.o kawambia ajira za walim arts zmefutwa adimwez sept
 
mmmmh mbona balaaa!!

Hapa ndo hivyo tumeshaangamia na njaa. Inafika kipindi unajutia bora ningeenda Diploma kwani wao wameshapata ajira tayari kibaya zaidi ni kuona huyo mwenye principle pass moja anakunja mshaara alafu sisi wenye two hadi three tunahangaika kitaa.
 
Niko naongea na mwl mkuu ananiambia d.e.o kawambia ajira za walim arts zmefutwa adimwez sept

Eti ajira zimefutwa hadi mwezi september! Kwa hyo zikifutwa saa hv sept zinaandikwa tena? Eti D.E.O!

Ajira zipo na kabla ya march 30 kila mtu atajua anaenda wapi pamoja na ukweli kuwa walimu wa art nafas zao ni chache na kuna posibility ya kupelekwa primary
 
Kupelekwa primary sio tatizo, cha msingi ni kupata chansi
 
Hapa ndo hivyo tumeshaangamia na njaa. Inafika kipindi unajutia bora ningeenda Diploma kwani wao wameshapata ajira tayari kibaya zaidi ni kuona huyo mwenye principle pass moja anakunja mshaara alafu sisi wenye two hadi three tunahangaika kitaa.

kwani walimu wa Diploma washaajiriwa?
 
Eti ajira zimefutwa hadi mwezi september! Kwa hyo zikifutwa saa hv sept zinaandikwa tena? Eti D.E.O!

Ajira zipo na kabla ya march 30 kila mtu atajua anaenda wapi pamoja na ukweli kuwa walimu wa art nafas zao ni chache na kuna posibility ya kupelekwa primary

huyu mtu anaropoka tu hajitambui
 
Nina link ya matokeo ya shule walizopangiwa waalimu wa diploma, kwa anayeitaji kuangaliziwa ani PM.
 
Ajira zenu zipo. Naibu waziri wa elimu aliyepita mh jenister mhagama alishatoa maelezo wakati wa sherehe za kufunga kambi kwa walienda jeshini. Alitangaza kupitia kiss fm kuwa walimu wote wataajiriwa. Acheni kubishana.
 
kaka hayo yanaweza kuwa ni maneno ya jukwaani tu aliongea ili nae aonekane anajali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom