Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Wametangaza zinatoka july
Wapi wametangaza?
Wametangaza zinatoka july
Wametangaza zinatoka july
Hiyo hapo wadau
hivi kwnn watu wa tamisemi wasije wakatupa info kiwizi wizi....maana tumechoka kukaa mtaani.....
ajira mwezi wa pili wata waajir wote ila kama una matatizo kwa mfano uli cary n.k uwez ajiriwa kwa kipind hiko
taarifa zilizopo ni kuwa wataajiriwa waalimu wa sayansi na english tu,hii ni official