Serikali ina mikakati ya kuongeza unemployment na si kupunguza tatizo hilo. Na mwaka huu wanamaliza na walimu mana walishanza na kada nyingine. Msipeane matumaini hewa...
Ni tanzania tu ambako wasio na silaha wanatishia uhai na amani wenye silaha. Point yangu hapa ni kwamba sera za nchi yetu ni magumashi tu. Nmenukuu sehemu km haipo haipo tu.
Punguza presha we subiria ajira utaipata tu kabla mwaka haujaisha.! je ungesoma kozi nyingine za kutafuta kazi mwenyewe ungekuaje.? we subiria ukiona hazitangazwi ujue muda haujafika muda ukifika serikali itatangaza kwamba ajira zimetoka tayari., tatizo vijana tunakuwa na haraka sana ya maisha.
polen cna walim, kenya wamesha ajiriwa,uganda hata rwanda pia,kuwen na roho ya subira hawo ndio viongozi wenu mlio wachagua, tuliosomea sheria wala hatuna presha ya ajira,kama ipo ni ipo tu na kama hakuna basi ni hakuna,,.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.