Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
What I know ajira zipo pale pale wala sina tatizo na serikali yangu
 
Wakati mwingine naibu anaweza ropoka tu..kwan mmesahau ile ya wapigwe tu ? Msijipe moyo hamtoshinda.

Hawa ndo wale walotamba tukimaliza tu ajira hizooooo. Sa mbona mnapapatika au hamjiamini, nina wasiwasi kwa hao wanafunzi wanaowasubiri
 
Wewe kama una Link hiyo ya majina ya waalimu wa Diploma si uweke hapa wazi wazi mambo ya pm huko ni harufu ya Utapeli utapewa namba ya sim utaambiwa tuma sh kadhaa...nkuangalizie au nkutmie link n ukute sio link ya ukweli!!!
 
Ndugu,ajira za walimu lini mbona mwaka unakaribia kuisha?tumebakiwa na siku 334 hadi leo.
 
Hapa hakuna atakae kupa jibu ambalo utaridhka then ukafurai kwa sababu ni weng sana wana majibu ya ilo swal lako kwani sio wa kwanza wewe kuuliza.

mpaka umefkia hatua ya kupost nadhan umekaa umeona dunia ka chungu nakupa pole kwa hilo.

kinachotakiwa we ni kungoja serikali itoe hayo majina yenu vuta subira kwan zamvumilivu mbivu.

nakutakia kila lakher kusubirid majibu utayopewa na wadau hapa , Yote huwa yanakua sahihi chamsing we ni kuchagua sahihi zaid
 
Hela za kuajiri zimeliwa na Tegeta Escrow baba kilime. Account zimekombwa Hela zinatengeneza zile nyimbo za nambari one ni JF
 
ata UE ujafanya unataka ajira maliza masomo kwanza wataajiliwa wa 2014/2015 wewe bado komaa na cousework kwanza
 
Walimu waarts wameshatosha so mkatafute prvate sasa hivi wanahitajika walimu wa science
 
​walimu waarts wameshatosha so mkatafute prvate sasa hivi wanahitajika walimu wa science


Acha chuki husda na wivu kijana nani kawatuma msome visivyoeleweka then mje muwaonee wivu walimu? jipange...

Walimu msikatishwe tamaa ajira zipo.
 
Acha chuki husda na wivu kijana nani kawatuma msome visivyoeleweka then mje muwaonee wivu walimu? jipange...

Walimu msikatishwe tamaa ajira zipo.
​ah haha haha haaa..................usije ntapisha chipsi mayai zangu, habari ndo hiyo
 
​ah haha haha haaa..................usije ntapisha chipsi mayai zangu, habari ndo hiyo


Juzi tu kulikua na kikao cha kuidhinisha majina na kuandaa PESA ya posho we unaleta ujinga....

Kumbe mtoto chips Mayai ndio maana uwezo Wa kufikiri huna...

Pathetic fool...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom