Ajira za TRA tumetoboa. Ushuhuda wangu!!

Ajira za TRA tumetoboa. Ushuhuda wangu!!

Hongera sana ndugu [emoji7][emoji7][emoji7] pia hongera ziende kwake kwa kuweka akili kwenye malengo/ndoto zake maana mpk kufika hapo na hana mkopo kakwepa mishale mingi
Sana ninadhan.,Ni karma tuu

Lakin pia elim ya din imemkaa sana
Juu ya yote wajua alipangalo maanan hakuna wa kulipangua:
 
hongera mkuu kwa kumpushi dogo.mind u!! Usiweke malengo kwa dogo ktk kipato chake.muache huru afanye maisha yake,sio zile ,mm ndo nimekusomesha ,bila mm usingekuwa hapo ulipo!!!it's not fair!!
 
Akumbuke kupeleka Fungu la kumi kanisani mshahara wake wa Kwanza na kuomba nia ya Ulinzi wa Mungu katika kazi zake.
Hongereni sana
 
TRA si wametangaza nafasi jana tu, kumbe tayari zimejaa?[emoji848]
Zilizotangazwa ni zingine tena ombeni tu vijana. Kwa kweli nimeamini kumbe wale jamaa hawatoi ajira kwa kujuana, hata mimi kuna binti wa shemeji yangu katusua leo kaenda kupangiwa kituo. Kila mtu na bahati yake aiseee!
 
Mdogo wangu wa kike hatimaye amepata Ajira TRA. Tunamshukulu sana Mwenyezi Mungu na serikali yetu Tanzania!!! Kwani Ajira zimekuwa changamoto sana sahivi!

Iko hivi, hiki kitu kilikuwa msalaba mzito sana mgongoni kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2, Ni jukumu langu na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.Huko chuo alikosa mkopo!

Just imagine baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014 Fedha ziliyayuka tuu.

Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu.

Kwa hisani yake Mola, nilipomaliza shule 2012(Form4,) sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule na zali la kwenda kulitumikia taifa Serikalini likaniangukia.

Na hatimae mnyororo wa umasikini tukaupunguza, na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O level kapiga 2. Na Six amebutua vizur tu.

Nilijibana bana, tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.

Nisiwachoshe......nilipambana mpaka nilikuwa nalia sometimes, Chuo hana mkopo mara mashetani ya ukoo hayataki asome duu ..(Kulogwa)

N.B
Sijahonga popote, Wala hatuna connection.

Ni Mola ametuona tu, Nina 27 yrs, dogo Sasa anaitafuta 24.

Na Kikubwa zaidi hela anayolipwa asee inasomeka parefu kuzid mim huku.

God is Good in all ze time
mama samia anaupiga mwingi sana mungu ampe maisha marefu
 
Akumbuke kupeleka Fungu la kumi kanisani mshahara wake wa Kwanza na kuomba nia ya Ulinzi wa Mungu katika kazi zake.
Hongereni sana
Asante Mkuu lakin ni Muslim....

Hlo pia ni muhimu zaid ikibid mwez huu wa mfungo...atoe dhaka na sadaka¡!!!! Zaid'
 
Zilizotangazwa ni zingine tena ombeni tu vijana. Kwa kweli nimeamini kumbe wale jamaa hawatoi ajiria kwa kijuana, hata mimi kuna binti wa shemeji yangu katusua leo kaenda kupangua kituo. Kila mtu na bahati yake aiseee!
Wajua hata kile kipindi anaenda kufanya interview...nilijua napoteza fedha tuu...

Nikizingatia watu wengi afu milolongo kibao.,

Eeh mala interview ya pili huyo...

Ndo hatuna ili Wala lile kitu kimelipuka yumo.....daaa..

Ilibaki kidogo niharib swaum kwa kulia...japo ilikua ni siku njema sana kwetu:
 
Hongera sana askari polisi 😀 ila umesema kweli nakumbuka niliwahi kuwa na rafiki mtumishi wa TRA jamani yule mkaka alikuwa anajua kutumia pesa ndipo hapo niligundua wana mishahara mizuri.

Hongera kwa mdogo wetu
 
Hongera sana askari polisi [emoji3] ila umesema kweli nakumbuka niliwahi kuwa na rafiki mtumishi wa TRA jamani yule mkaka alikuwa anajua kutumia pesa ndipo hapo niligundua wana mishahara mizuri.

Hongera kwa mdogo wetu
[emoji848][emoji848]
 
Mkuu hongera kwa kutimiza wajibu wako kama Braza..

Enjoy
 
Back
Top Bottom