Ajira za TRA tumetoboa. Ushuhuda wangu!!

unagahati sana,,taarifa niliyonayo,,wanaccm wote ndo wamepata kwanza zile nzurinzuri..baaada ya kubaki ndo wakawarushia wachache ambao hawana connection.Je wewe kijana wako alikuwa amesoma kozi gani?
Chanzo chako ni cha kuaminika? [emoji3]
 
Mdogo wangu wa kike hatimaye amepata Ajira TRA. Tunamshukulu sana Mwenyezi Mungu na serikali yetu Tanzania!!! Kwani Ajira zimekuwa changamoto sana sahivi!!!!!!

Iko hivi, hiki kitu kilikuwa msalaba mzito sana mgongoni kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2...., Ni jukumu langu na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.....Huko chuo alikosa mkopo!!

Just imagine... baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014....Fedha ziliyayuka tuu.....

Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu....

Kwa hisani yake Mola, nilipomaliza shule 2012(Form4,) sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule na zali la kwenda kulitumikia taifa Serikalini likaniangukia.

Na hatimae mnyororo wa umasikini tukaupunguza, na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O level kapiga 2.... Na Six amebutua vizur tu.

Nilijibana bana.....tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae.....na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.....

Nisiwachoshe......nilipambana mpaka nilikuwa nalia sometimes, Chuo hana mkopo mara mashetani ya ukoo hayataki asome duu ..(Kulogwa)

N.B
Sijahonga popote..... Wala hatuna connection...

Ni Mola ametuona tu, Nina 27 yrs, dogo Sasa anaitafuta 24.

Na Kikubwa zaidi hela anayolipwa asee inasomeka parefu kuzid mim huku.

Goz is Good in all ze tym:...
Samahani Mkuu,Mimi naomba tu kuunga ukoo na wewe kwa kumuoa huyo mdogo wako.Njoo PM nipe Namba zake,nakuahidi kuwa sitamtenda,na wewe shemeji nitakuwa nakujali kwa kukutoa toa vijisenti.Fanya hivyo Chifu.
 
Hauko peke yako Mkuu, ukiona natema huo mkeka jua yameshanifika lkn kwakuwa tulihusiwa kwamba Mkubwa ni Jalala napaswa kumeza ufahari na ukubwa wangu ili maisha yasonge mbele na kuleta mshikamano wa kifamilia.
Tusonge mbele mkuu, good enough Mungu anazidi kutubariki na tunasomesha wengine. La muhimu somo limeniingia!
 
Samahani Mkuu,Mimi naomba tu kuunga ukoo na wewe kwa kumuoa huyo mdogo wako.Njoo PM nipe Namba zake,nakuahidi kuwa sitamtenda,na wewe shemeji nitakuwa nakujali kwa kukutoa toa vijisenti.Fanya hivyo Chifu.
Tunda kimasihara au sio!!!!!![emoji23]
 
Mdogo wangu wa kike hatimaye amepata Ajira TRA. Tunamshukulu sana Mwenyezi Mungu na serikali yetu Tanzania!!! Kwani Ajira zimekuwa changamoto sana sahivi!!!!!!

Iko hivi, hiki kitu kilikuwa msalaba mzito sana mgongoni kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2...., Ni jukumu langu na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.....Huko chuo alikosa mkopo!!

Just imagine... baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014....Fedha ziliyayuka tuu.....

Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu....

Kwa hisani yake Mola, nilipomaliza shule 2012(Form4,) sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule na zali la kwenda kulitumikia taifa Serikalini likaniangukia.

Na hatimae mnyororo wa umasikini tukaupunguza, na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O level kapiga 2.... Na Six amebutua vizur tu.

Nilijibana bana.....tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae.....na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.....

Nisiwachoshe......nilipambana mpaka nilikuwa nalia sometimes, Chuo hana mkopo mara mashetani ya ukoo hayataki asome duu ..(Kulogwa)

N.B
Sijahonga popote..... Wala hatuna connection...

Ni Mola ametuona tu, Nina 27 yrs, dogo Sasa anaitafuta 24.

Na Kikubwa zaidi hela anayolipwa asee inasomeka parefu kuzid mim huku.

Goz is Good in all ze tym:...
Saww afande
 
put the merital status!
niko tayar kutoa Ng'ombe wa Mayele
 
Hongereni kwa kupata ajira utotoni mtaweza kufika mbali.
 
Hongera kwa moyo wa Upendo na kukata Mnyororo wa Ubinafsi. Mind U kubali kwamba dogo wako ulimsaidia naye ataanza Maisha yake Vitendo vya kutopokea Simu zako, kukupotezea unapokuwa na shida, kupiga chini appointment zako, Kama wewe uko Dar yeye akipangwa Arusha, kubali kwamba atakuwa anakuja Dar anafikia hotel hata Wiki 2 kwako hajji, wewe utakuwa Third Party. Yaaani Kwa sasa Demu wake au Boyfriend wake atakuwa na thamani kubwa kuliko wewe, wakwe zake, marafiki zake halafu ndio wewe utafutata nk.

So usiweke maanani kwamba Kuna nafuu utaipata kwa dogo lako na epuka kugeuka omba omba kwake kikubwa muongoze kufikia malengo yake kuliko kugeuka kumkumbusha Historia Jinsi ulivyomsaidia undugu utakufa!
Umemuonesha uhalisia wa mambo kweli kweli....sema umemuumiza kumwambia mapema....hayo maneno ni machungu mno
 
2014....Fedha ziliyayuka tuu...

hazijayeyuka bana mzee may be alikuwa mtu
wa vyombo au totoz ??
kwa nini ziyeyuke
 
Mdogo wangu wa kike hatimaye amepata Ajira TRA. Tunamshukulu sana Mwenyezi Mungu na serikali yetu Tanzania!!! Kwani Ajira zimekuwa changamoto sana sahivi!!!!!!

Iko hivi, hiki kitu kilikuwa msalaba mzito sana mgongoni kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2...., Ni jukumu langu na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.....Huko chuo alikosa mkopo!!

Just imagine... baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014....Fedha ziliyayuka tuu.....

Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu....

Kwa hisani yake Mola, nilipomaliza shule 2012(Form4,) sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule na zali la kwenda kulitumikia taifa Serikalini likaniangukia.

Na hatimae mnyororo wa umasikini tukaupunguza, na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O level kapiga 2.... Na Six amebutua vizur tu.

Nilijibana bana.....tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae.....na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.....

Nisiwachoshe......nilipambana mpaka nilikuwa nalia sometimes, Chuo hana mkopo mara mashetani ya ukoo hayataki asome duu ..(Kulogwa)

N.B
Sijahonga popote..... Wala hatuna connection...

Ni Mola ametuona tu, Nina 27 yrs, dogo Sasa anaitafuta 24.

Na Kikubwa zaidi hela anayolipwa asee inasomeka parefu kuzid mim huku.

Goz is Good in all ze tym:...
hongera sana mama anaupiga mwingi sana achana na wapiga kelele tumshukuru Mungu kwa kutupatia kiongozi pia hapo kwenye hela ndugu yangu ata ajaripoti umesha jua analipwa kiasi gani
 
Hongera kwa moyo wa Upendo na kukata Mnyororo wa Ubinafsi. Mind U kubali kwamba dogo wako ulimsaidia naye ataanza Maisha yake Vitendo vya kutopokea Simu zako, kukupotezea unapokuwa na shida, kupiga chini appointment zako, Kama wewe uko Dar yeye akipangwa Arusha, kubali kwamba atakuwa anakuja Dar anafikia hotel hata Wiki 2 kwako hajji, wewe utakuwa Third Party. Yaaani Kwa sasa Demu wake au Boyfriend wake atakuwa na thamani kubwa kuliko wewe, wakwe zake, marafiki zake halafu ndio wewe utafutata nk.

So usiweke maanani kwamba Kuna nafuu utaipata kwa dogo lako na epuka kugeuka omba omba kwake kikubwa muongoze kufikia malengo yake kuliko kugeuka kumkumbusha Historia Jinsi ulivyomsaidia undugu utakufa!
maneno mazito sana haya umeongea, ni kweli tupu!

mi nashauri hili kwa mtoa mada; kamshauri huyo mdogo wake kutumia mshahara wake wa kwanza katika kutoa sadaka kwenye nyumba ya ibada kama shukrani kwa Mungu na ombi la kubariki kipato chake kiwe chenye baraka tele......wengi tulikosea kwa kutofanya hili na athari tunaziona! aende nacho chote hata kama hatotoa chote, kule kitapata ulinzi wa ushetani hicho kitakachobaki mpaka vinavyofuata.

hongereni sana, ndugu yangu ni mkubwa kuliko wewe mtoa mada, lakini tangu 2015 anahangaika na hajapata ajira mpaka sasa.....kila akiomba majibu yanakuwa mabaya kwa upande wake ingawa vyeti viko safi tu. mwaka wa tano huu sasa anajitolea tu na taratiiiibu namuona anavyokata tamaa na maisha yenyewe haya. unaingia jf wakati mwingine kutaniana na watu katika mambo ya siasa n.k huku maandishi yakionekana kama unacheka au una furaha kumbe una mengi.
 
Back
Top Bottom