lamaa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 1,014
- 2,700
Mdogo wangu wa kike hatimaye amepata Ajira TRA. Tunamshukulu sana Mwenyezi Mungu na serikali yetu Tanzania!!! Kwani Ajira zimekuwa changamoto sana sahivi!
Iko hivi, hiki kitu kilikuwa msalaba mzito sana mgongoni kwangu...kwani..Huyu dogo toka yuko form2, Ni jukumu langu na kibaya zaid' hata alipomaliza form Six.Huko chuo alikosa mkopo!
Just imagine baba nguzo kuu ya familia alistaafu utumishi 2014 Fedha ziliyayuka tuu.
Mama Ni mama wa nyumbani ndugu zangu wengine wanaunga unga tu.
Kwa hisani yake Mola, nilipomaliza shule 2012(Form4,) sikukaa sana home nikajichanganya huku na kule na zali la kwenda kulitumikia taifa Serikalini likaniangukia.
Na hatimae mnyororo wa umasikini tukaupunguza, na nisingeweza kumuacha mdogo wangu ikiwa O level kapiga 2. Na Six amebutua vizur tu.
Nilijibana bana, tukaanza Kama mchezo huku wazee wakinipa baraka zote nikae nae na hakuna ndugu aliewahi hata kumuulizia mishe zake.
Nisiwachoshe......nilipambana mpaka nilikuwa nalia sometimes, Chuo hana mkopo mara mashetani ya ukoo hayataki asome duu ..(Kulogwa)
N.B
Sijahonga popote, Wala hatuna connection.
Ni Mola ametuona tu, Nina 27 yrs, dogo Sasa anaitafuta 24.
Na Kikubwa zaidi hela anayolipwa asee inasomeka parefu kuzid mim huku.
God is Good in all ze time