KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,104
- 5,035
Wanawake sio kama wanaumeHongera kwa moyo wa Upendo na kukata Mnyororo wa Ubinafsi. Mind U kubali kwamba dogo wako ulimsaidia naye ataanza Maisha yake Vitendo vya kutopokea Simu zako, kukupotezea unapokuwa na shida, kupiga chini appointment zako, Kama wewe uko Dar yeye akipangwa Arusha, kubali kwamba atakuwa anakuja Dar anafikia hotel hata Wiki 2 kwako hajji, wewe utakuwa Third Party. Yaaani Kwa sasa Demu wake au Boyfriend wake atakuwa na thamani kubwa kuliko wewe, wakwe zake, marafiki zake halafu ndio wewe utafutata nk.
So usiweke maaanani kwamba Kuna nafuu utaipata kwa dogo lako na epuka kugeuka omba omba kwake kikubwa muongoze kufikia malengo yake kuliko kugeuka kumkumbusha Historia Jinsi ulivyomsaidia undugu utakufa!
Hasa ktk ngazi ya familia...
Rejea mabinti na vijana nani anasaidia zaidi familia nyumbani
Wa kike kma ana kipato mtafaidi