Unafikra duni Je wachinaNdo nimekwambiaje,hao wa mchongo sikatai,lakini hawana vigezo vya kitengo hicho mkuu. Nisiingilie sana maana kazi zao wanazijua wenyewe. Ila, uje uangalie hao wa kileo, na wa miaka kama 25 iliyopita,wana tofauti gani? Ikiwa lengo ni mtu wangu nae ale kwenye pesa ya serikali,siku zote itakuwa hivi. Sasa mtu kazi yake ni mission,na inajulikana yuko wapi,na nani,kafanyeje,si afisa tena huyo.
Ukisema ya movie,ntakwambia utakuwa unakosea kwa sababu,hakuna jambo muafrika analolifanya pasipo kumuiga mzungu. Halipo. Kwa hiyo,ukiwa na wa TISS kama wanaosemekana walienda kumdhulu kiongozi furani wa chama furani,basi wewe huoni uwezo huo wa kazi yao hawana?
wapo wanao riport kwa raismuvi zisikudanyanye mkuu,wanajulikana vizuri tuu labda wewe ndio hauelewi wala haufatilii,watu wanajua hatua zao za usahili na rushwa zipo kama kawaida wanao enda kwa mchongo wapo.na kuhusu kuripoti tiss hawaripoti vituo vya polisi wao wanaripoti kwa raisi moja kwa moja ndugu.
Huwa wanapatikana vipi na kwa utaratibu gani?Wapo
wapo wanao riport kwa rais
Wanao riport kwa wazir mkuu,wanao riport kwa rc, wanao riport kwa dc wanao riport had vituo vya polisi hata kwenye ofis za kata wapo walio vurugwa mule inategemea na t
Sijajua zaidHuwa wanapatikana vipi na kwa utaratibu gani?
Ndio swali kuu.
Asante kwa hii elimu.Sijajua zaid
Ila wanaptkan ktegemea n mahtaj mf.
Wanaweza chukua mtaan kwa kuzngatia vetting, wanaweza chukua kwenye ajira direct za umma mf walimu n.k hawa weng wanakuwa n ma informa wanaweza chukua kwenye club mbal mbal mf za sport ila hat ww unaweza jipenyeza kwa kufatilia matukio yanay hatarsha nch,mkoa,wilay or kijij ukaandaa taarfa yeny uweled n umakin una submit kweny ofs za rc,dc, vituo vya polis or ofs za pccb or kam kuna mtu unamuis n chama lao we jipempele kwa kumpelekea vitaarfa vya uharifu uku n ww ukijtahd kuwa smart kwa kila hatua zako
Job satisfaction haitokani na mshahara mkubwa tu peke yake, zipo factors nyingi Sana zinachangia jambo hili.Vipi ni pazuri kuzidi pccb au dcea katika salary?
Working for killers is a sure way of booking a place in hell.Siku ukiamua kutoka kwenye hiyo kazi basi inabidi ukimbie nchi kama Chahali ukijifanya utulie nchini basi lazima uokotwe kwenye mtaro ,kisima au ajali ya bodaboda.(M.A.P Ulomi).
Well somebody has to, wapo watakao volunteer ili ku keep nchi safeHiyo sio kazi ya kufanya. Usithubutu kuingia huko ndugu yangu, ni bora uwe nabii au mtume wa Das'laam kuliko hiyo kazi. Ni miyeyusho. Haifai hata kidogo.
I just warned em'. It is up to em'Well somebody has to, wapo watakao volunteer ili ku keep nchi safe
Toa sababu au ndio mitazamoHiyo sio kazi ya kufanya. Usithubutu kuingia huko ndugu yangu, ni bora uwe nabii au mtume wa Das'laam kuliko hiyo kazi. Ni miyeyusho. Haifai hata kidogo.
It's a national disgrace!Toa sababu au ndio mitazamo
Nilisikia mahala kuwa wanaanzia mashuleni,hata chekechea kumfatilia mtu taratiibu (lkn huo utaratibu ulikuwa kipindi cha baba wa taifa),kwasasa ni connection hasa,lkn mwenye kujua zaidi ni ruhusa kunikosoa kwa hili,.Hakuna cha kutangazwa kwa mkuu wa wa mkoa wala Nani
Wao hua wanampointi moja kwa moja mtu wanae mwitaji moja kwa moja
Na mara nyingi mtu huyo lazima awe kwenye taaluma fulani au ana kitu spesho!
Lini?Mbona nasikia kwa mara ya kwanza Tiss wametangaza nafasi za kazi
Wana uhuru wa ku recruit kokote, itategemeana na uhitaji wa wakati huo, wanauhitaj wa staff wa aina ganiMbona nasikia kwa mara ya kwanza Tiss wametangaza nafasi za kazi