Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 159
- 114
Kwa hiyo nafasi za kazi wanatangaza lini ili watu waombe?Kozi yao inaanza january
Mwagabona.
Kwa hiyo nafasi za kazi wanatangaza lini ili watu waombe?Kozi yao inaanza january
we ulisikia wapiKwa hiyo nafasi za kazi wanatangaza lini ili watu waombe?
Mwagabona.
Hm. Kwa anaeielewa kiuhalisia,hivyo vigezo ni zero kabisa.Wana njia kuu 3 wanazotumia ..
( 1. )Wanachukua vijana kutoka Vyuo vikuu, JKT na hata mitaani kwa vigezo wanavyovitaka wao na kwa mahitaji maalum ya kazi ila huwa wanachukuliwa Kimya Kimya na vijana wanaochukuliwa hufanyiwa vetting kisha huchukuliwa. Lakini pia kwenye majeshi ya askari polisi, magereza, JWTZ n.k huchukuliwa yaani hapa mtu utakuta ni polisi lakini hapohapo ni TISS au ni JWTZ hapohapo ni TISS anakuwa anafanya simultaneously role Ila role kubwa inakuwa ni base on TISS.
(2). Kupitia vyama vya siasa jiunge CCM au Vyama vya upinzani na ukiwa huko usibweteke toa hoja kwelikweli, Hoja ziwe za maana you have to be a man of logic na uwe na ushawishi wa kutetea hoja zako watakutafuta for political reasons.
(3). Kupitia connection, Kama una ndugu yako mwenye nafasi kubwa ni rahisi kuchukuliwa, Ni mwendo wa vi-memo tu.
Note: Kama unataka kuwa TISS na hauna connection wala hutaki jihusisha na mambo ya siasa Basi njia ya kwanza ndio option iliyobaki, Jitahidi kufanya vitu ambavyo vita wa attract wao wakutafute njia rahisi ingia kwenye majeshi ya ulinzi na usalama iwe ni polisi,magereza, JWTZ n.k then fanya vitu extraordinary Huko usiwe mzembe fanya vitu vya kiintelijensia kweli onyesha kuwa una kitu extra basi unaweza chukuliwa.
Kama upo mtaani basi fanya vitu extraordinary jihusishe na mambo ya gunduzi, teknolojia, jifunze teknolojia mpya tafuta ujuzi wa kushawishi wakutafute kama kuwa expert wa computer mambo ya IT soma sana mambo ya networking etc alafu kuwa na project zako then zi launch kwa society wazione unaweza kuchukuliwa. Kwa nyongeza labda uwe mnaaa ukiona uhalifu,uuzaji wa madawa kama mirungi, bangi n.k Katoe taarifa polisi yaani uwe unachomea wananchi wenzako ila njia hii sio nzuri na salama do at your own risk.
N.B. Njia zote hizo hazina guarantee ya 100% so unaweza kuwa na sifa zote na ukakosa kazi kitengo na sio kitengo tu ata polisi yenyewe unaweza kosa.
Muulize kwanza maana halisi ya TISS. Akishaijua,atajua na wanaounda kikosi hicho,na wanapatikanajewe ulisikia wapi
Nilisikia wapi nini?we ulisikia w
muvi zisikudanyanye mkuu,wanajulikana vizuri tuu labda wewe ndio hauelewi wala haufatilii,watu wanajua hatua zao za usahili na rushwa zipo kama kawaida wanao enda kwa mchongo wapo.na kuhusu kuripoti tiss hawaripoti vituo vya polisi wao wanaripoti kwa raisi moja kwa moja ndugu.Hm. Kwa anaeielewa kiuhalisia,hivyo vigezo ni zero kabisa.
Labda TISS wa mchongo.
Kwanza ukielewa maana ya TISS yenyewe,kuna kitu utaelewa. Baada ya hapo,utagundua nani amekidhi vigezo vya kujiunga.
Hapa nikupe mfano mmoja,jeshini mpaka mtu awe MP(Military Police),inakuwaje? Maana hawaokotwi mtaani na kupewa hicho cheo. Hawatolewi mtaani na kupelekwa course ya uMP. Lakini wapo.
Halafu,ikitokea ukabahatika kujua utendaji kazi wao,ndo utagundua ni watu gani,wana ujuzi gani,missions zao zikoje.
Kila nchi lazima iwe nao,lakini hawafai hata kusikika. Na ukikutana na mtu aliewahi kujikwaa akakutana nao,kwanza ukimuuliza ni kina nani,wanafanya nini,kama mmekaa,atainuka bila jibu. Kwa nini?
Hapo hutotamani hata kufahamiana nao.
Popote ulipo,ujue wapo. Na ndo maana ukipenda,mambo yako yafanye kwa utaratibu.
Mijama kama ina mission,hata zege itakologa na kubeba. Makande itakula kama haina akili. Kibarua cha kuchimba choo,itachimba,hata kwa nusu ya bei.
Sasa waokote mtaani wa msaada gani?
Nijuavyo mimi,hawa hata ikitokea wakagundulika,mpaka anakata upepo utamtesa lakini hakwambii ukweli.
Nimetumwa na furani,yuko sehemu furani,ahhhh wapi. Huyo jambazi tu.
Mtaani mtu haongei,eti yule ni usalama wa taifa. Wengine eti nikivaa miwani yangu,watu wananikimbia wanajua mi usalama wa taifa. Teh teh teh
Ila wale utakaosikia wanasemwa au watu wanawahisi,jua tu hao ni wambea. Wapo watu ambao kazi yao ni kukusanya taarifa na kupeleka kituo cha polisi,hata mia hawapewi,sifa tu kuingia ofisi ya mkuu wa kituo,basi. Na yeye anaambiwa nenda kafatilie hiki na kile.
Hicho ni kitengo kipo,lakini hakinaga ukweli,wahusika,hawajulikanagi,wao wenyewe hawafahamiani,wenyewe kama wanawindana,na siku ukiwajua,basi ujue hicho kitengo kimeshaingiliwa na kuvujisha siri zake. Hapo kinakuwa tayari kimeshakua MOSSAD
kuhusu kuingia wengi tuu wanaingia kwa michongo ila wakiingia kule wanafuliwa ,kuna wanaojulikana kama PU na ambao hawajulikaniMuulize kwanza maana halisi ya TISS. Akishaijua,atajua na wanaounda kikosi hicho,na wanapatikanaje
ahahha hakikisha jina lako la tatu liko kwenye DB muda mrefuUnataka?
Vigezo:
Uwe chawa mbobevu wa chama Cha zidumu fikra za mwenyekiti taifa
Uwe umepita pita kwenye zile taasisi zinazolea makada mfano seneti ya vyuo vikuu, umoja wa vijana n.k
Hakikisha jina lako la tatu lipo kwenye database yao mda mrefu.....sijui umenielewa?
Au skia
Jiunge vyama hasimu Jenga hoja onesha una kitu Cha ziada watakutafuta soon
Hatua zao za usahili! zipoje?muvi zisikudanyanye mkuu,wanajulikana vizuri tuu labda wewe ndio hauelewi wala haufatilii,watu wanajua hatua zao za usahili na rushwa zipo kama kawaida wanao enda kwa mchongo wapo.na kuhusu kuripoti tiss hawaripoti vituo vya polisi wao wanaripoti kwa raisi moja kwa moja ndugu.
😁😁😁😁Garang lipo kwenye db?ahahha hakikisha jina lako la tatu liko kwenye DB muda mrefu
Huyo anayejulikana sasa wa kazi gani? Na hayo ndo madhala ya kuteua watu wasiostahili. Mpaka ukisikia badhi ya siri za nshi zinavuja,ujue chanzo ni kama hao. Wengine utaishi nae jirani,au kazini nanhuwezi kustuka. Sasa mtu kalewa,kaanza kukutolea bastola na kutamba ni TISS, nidhamu hiyo? Huyo zero. Wanaujitambua ni ngumu kuwajua,hata umchokoze,hutosikia anakujibu. Anakuchora tu. Si anaangalia uwezo wako kiakili ni hamna.kuhusu kuingia wengi tuu wanaingia kwa michongo ila wakiingia kule wanafuliwa ,kuna wanaojulikana kama PU na ambao hawajulikani
Ndo nimekwambiaje,hao wa mchongo sikatai,lakini hawana vigezo vya kitengo hicho mkuu. Nisiingilie sana maana kazi zao wanazijua wenyewe. Ila, uje uangalie hao wa kileo, na wa miaka kama 25 iliyopita,wana tofauti gani? Ikiwa lengo ni mtu wangu nae ale kwenye pesa ya serikali,siku zote itakuwa hivi. Sasa mtu kazi yake ni mission,na inajulikana yuko wapi,na nani,kafanyeje,si afisa tena huyo.muvi zisikudanyanye mkuu,wanajulikana vizuri tuu labda wewe ndio hauelewi wala haufatilii,watu wanajua hatua zao za usahili na rushwa zipo kama kawaida wanao enda kwa mchongo wapo.na kuhusu kuripoti tiss hawaripoti vituo vya polisi wao wanaripoti kwa raisi moja kwa moja ndugu.
Umetoa maelezo mengi ila haujaeleza ni vipi ajira za tiss zinapatikana.Hm. Kwa anaeielewa kiuhalisia,hivyo vigezo ni zero kabisa.
Labda TISS wa mchongo.
Kwanza ukielewa maana ya TISS yenyewe,kuna kitu utaelewa. Baada ya hapo,utagundua nani amekidhi vigezo vya kujiunga.
Hapa nikupe mfano mmoja,jeshini mpaka mtu awe MP(Military Police),inakuwaje? Maana hawaokotwi mtaani na kupewa hicho cheo. Hawatolewi mtaani na kupelekwa course ya uMP. Lakini wapo.
Halafu,ikitokea ukabahatika kujua utendaji kazi wao,ndo utagundua ni watu gani,wana ujuzi gani,missions zao zikoje.
Kila nchi lazima iwe nao,lakini hawafai hata kusikika. Na ukikutana na mtu aliewahi kujikwaa akakutana nao,kwanza ukimuuliza ni kina nani,wanafanya nini,kama mmekaa,atainuka bila jibu. Kwa nini?
Hapo hutotamani hata kufahamiana nao.
Popote ulipo,ujue wapo. Na ndo maana ukipenda,mambo yako yafanye kwa utaratibu.
Mijama kama ina mission,hata zege itakologa na kubeba. Makande itakula kama haina akili. Kibarua cha kuchimba choo,itachimba,hata kwa nusu ya bei.
Sasa waokote mtaani wa msaada gani?
Nijuavyo mimi,hawa hata ikitokea wakagundulika,mpaka anakata upepo utamtesa lakini hakwambii ukweli.
Nimetumwa na furani,yuko sehemu furani,ahhhh wapi. Huyo jambazi tu.
Mtaani mtu haongei,eti yule ni usalama wa taifa. Wengine eti nikivaa miwani yangu,watu wananikimbia wanajua mi usalama wa taifa. Teh teh teh
Ila wale utakaosikia wanasemwa au watu wanawahisi,jua tu hao ni wambea. Wapo watu ambao kazi yao ni kukusanya taarifa na kupeleka kituo cha polisi,hata mia hawapewi,sifa tu kuingia ofisi ya mkuu wa kituo,basi. Na yeye anaambiwa nenda kafatilie hiki na kile.
Hicho ni kitengo kipo,lakini hakinaga ukweli,wahusika,hawajulikanagi,wao wenyewe hawafahamiani,wenyewe kama wanawindana,na siku ukiwajua,basi ujue hicho kitengo kimeshaingiliwa na kuvujisha siri zake. Hapo kinakuwa tayari kimeshakuaUmetoabAD
Ni kweli haeleweki alikuwa anataka kuongelea nini.Umetoa maelezo mengi ila haujaeleza ni vipi ajira za tiss zinapatikana.
huwa zinapelekwa kwa maafisa usalama wa kila wilaya wao ndio wanatafuta watu,Umetoa maelezo mengi ila haujaeleza ni vipi ajira za tiss zinapatikana.
Ulitaka kutoa lonja kuhusu nini boss?Nataka kuwapa ronja juu ya Tanzania Intelligence security service moyo unaniambia koma wewe ulishaapa kuilinda ya nchi yangu mpaka kufa.... Any way ngoja nisubili siku nyingine
Hm. Kwa anaeielewa kiuhalisia,hivyo vigezo ni zero kabisa.
Labda TISS wa mchongo.
Kwanza ukielewa maana ya TISS yenyewe,kuna kitu utaelewa. Baada ya hapo,utagundua nani amekidhi vigezo vya kujiunga.
Hapa nikupe mfano mmoja,jeshini mpaka mtu awe MP(Military Police),inakuwaje? Maana hawaokotwi mtaani na kupewa hicho cheo. Hawatolewi mtaani na kupelekwa course ya uMP. Lakini wapo.
Halafu,ikitokea ukabahatika kujua utendaji kazi wao,ndo utagundua ni watu gani,wana ujuzi gani,missions zao zikoje.
Kila nchi lazima iwe nao,lakini hawafai hata kusikika. Na ukikutana na mtu aliewahi kujikwaa akakutana nao,kwanza ukimuuliza ni kina nani,wanafanya nini,kama mmekaa,atainuka bila jibu. Kwa nini?
Hapo hutotamani hata kufahamiana nao.
Popote ulipo,ujue wapo. Na ndo maana ukipenda,mambo yako yafanye kwa utaratibu.
Mijama kama ina mission,hata zege itakologa na kubeba. Makande itakula kama haina akili. Kibarua cha kuchimba choo,itachimba,hata kwa nusu ya bei.
Sasa waokote mtaani wa msaada gani?
Nijuavyo mimi,hawa hata ikitokea wakagundulika,mpaka anakata upepo utamtesa lakini hakwambii ukweli.
Nimetumwa na furani,yuko sehemu furani,ahhhh wapi. Huyo jambazi tu.
Mtaani mtu haongei,eti yule ni usalama wa taifa. Wengine eti nikivaa miwani yangu,watu wananikimbia wanajua mi usalama wa taifa. Teh teh teh
Ila wale utakaosikia wanasemwa au watu wanawahisi,jua tu hao ni wambea. Wapo watu ambao kazi yao ni kukusanya taarifa na kupeleka kituo cha polisi,hata mia hawapewi,sifa tu kuingia ofisi ya mkuu wa kituo,basi. Na yeye anaambiwa nenda kafatilie hiki na kile.
Hicho ni kitengo kipo,lakini hakinaga ukweli,wahusika,hawajulikanagi,wao wenyewe hawafahamiani,wenyewe kama wanawindana,na siku ukiwajua,basi ujue hicho kitengo kimeshaingiliwa na kuvujisha siri zake. Hapo kinakuwa tayari kimeshakua MOSSAD
Vyema,na asante kunilekebisha. Ila,kwa niaba ya wanaojua,nitoe mfano. Ukiandika vitu kwenye simu yako,una imani ni siri yako hawezi mtu kugundua. Kwa anaeelewa,na mwenye dili zake,kamwe hawezi kutumia simu kubwa kwa hayo mambo.Umeelezea vizuri ila nitakurebesha maeneo mawali. MP ni madaraka sio cheo, na si kweli kuwa spies hawajuani. maybe kwa intake fulani ila most of the time wanajuana. Tofauti ni kwamba wana namna ya kutambuana wanapokuwa maeneo ya kazi, namna ambayo mwananchi wa kawaid ni ngumu kujua
Tupe Update mkuuKozi yao inaanza january