Ajira yenye utata

Ajira yenye utata

🤣 🤣 🤣 🤣 ukisoma huu uzi kunzia mwanzo, utagundua kwamba maoni 98% yalikuwa yametabiri matokeo. Ila na wewe kwa nini hukumuonya dogo baada ya kusoma maoni yetu?

Mkuu
Uzuri Wa Jamiiforums.com Ukileta Jambo Lolote Utapata Ufafanuzi Na Utaonywa Haraka Sana, Ila Ukiwa Mgumu Ndiyo Yatakukuta Kama Ya Thread Hii

Mr Kuku Ilianza Taratibu Kujadiliwa Na Watu Wakaonywa Haraka Sana, Waliopuuza Leo Hoi
Kuna Jamaa Yangu Yupo Hoi Kutokana Na Kuku. Akiamini Ametusua Maisha
Hamadi Anaambiwa Account Zimeshikiliwa Na Vyombo Baadaye Utakatishaji
 
Uko sahihi kamanda

MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Mwana kulitafuta mwana Kulipata... safi sana ulipewa ushauri ukaona jamaa wanawaonea wivu
 
Sijui huyu ndugu alikuja kuomba ushauri wa nini na hakuwa na mpango nao
 
Nimefurahi sana mlivyotapeliwa. Yaani umeomba ushauri humu watu tumeacha shughuli zetu na michepuko yetu tukakupa ushauri ila ukaona hawa mafala tu.

Hiyo milioni tano ni sawa na toyota vitz mbili namba B. Natamani mtapeliwe zaidi hadi ujinga uwatoke.
 
Mmiliki wa shirika huyu hapa
Nachojua ni kwamba amaepewa masharti ya kazi,kama anaweza kuyatimiza ayatimize,kama hawezi aachane nayo.Kama ana mashaka pia aachane nayo.After all kazi za bure ziko nyingi sana.
 
Habari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini nina wasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajili 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB: Pesa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha
Mkuu hakuna kazi kakutana na matapeli wa mtandaoni acheni uzwazwa yani mapaka hapo hamjashutuka vipi nyie. Hilo shirika lina tovuti?
 
Mmiliki wa shirika huyu hapa
Wala mimi sio mmiliki ila nashindwa kuelewa anacholalamika ni nini hasa.Alichopaswa kujiuliza ni IS IT WORTHY IT?kwa sababu kila kitu kipo very open
 
MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Hiyo hela ulitoa wewe mwenyewe? Dogo alikabidhi vipi hiyo pesa? Yan ana kwa ana, kwa simu au kwa bank?
 
Unatoa Million 4 ili qpate ajira atakayolipwa 900k. Hamkua hata na idea ya biashara mkampatia yeye akaanza kufanya.

Ni kheri ela ingepotelea kwenye biashara unajua imeendaje na unajua unambana nani hapo. Sasa situation yako unaweza kuta hata dogo mwenyewe ndio kaset mipango kuwapiga lakini huwezi mpa lawama.
 
ukisoma huu uzi kunzia mwanzo, utagundua kwamba maoni 98% yalikuwa yametabiri matokeo. Ila na wewe kwa nini hukumuonya dogo baada ya kusoma maoni yetu?
Tulimshahuli sisi akatuona wajinga,...
 
hv mtu unatafuta hela halafu unamfuata mtu akupe hela naye anakuomba hela !

huyo ana hela kweli ????
 
MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
We mjinga sana, kwani hayo yote hukuambiwa humu, siku nyingine Msije kuomba ushauri Kama tayari mnakuwa na misimamo yenu. Tena huyo dogo anatakiwa akuchukie maisha yake yote maana ulitakiwa kumuingoza na kumshauri kwani ulishaambiwa na wadau kuwa hao ni matapeli. Et nimeshanawa mikono juha wa karne kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom