Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,411
Dah! Watu mna pesa asee, hivi kweli fedha zote hizo bado unawaza kuajiriwa?? Mwambieni dogo aache ufala akae chini aseti mipango ya biashara mumpe mtaji huo.
Watanzania kwanini mnapenda utumwa?
Sasa mtu anayetafuta ajira pesa yote hiyo anakuwa amepata wapi?
Kama mtatoa uje kutupa mrejesho mkuu
Watanzania kwanini mnapenda utumwa?
Sasa mtu anayetafuta ajira pesa yote hiyo anakuwa amepata wapi?
Kama mtatoa uje kutupa mrejesho mkuu
