ashidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 291
- 341
Habari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini nina wasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajili 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB: Pesa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha