kasichana
Member
- Oct 21, 2014
- 94
- 42
wametoa kwenye website yaoUliabdikiwa hivyo alafu ilukaitwa katika majina haya waliotoa ama umepigiwa simu? Me nimeandikiwa hivyo na sijaitwa
wametoa kwenye website yaoUliabdikiwa hivyo alafu ilukaitwa katika majina haya waliotoa ama umepigiwa simu? Me nimeandikiwa hivyo na sijaitwa
Kwahyo wote wanaoandikiwa 1st interview wataitwa? Mmh me mbna zote nlizoapply nmeandikiwa 1st interview na nyngne nliapply kujaribu tuu sina hata qualifications ila meandikiwa 1st interview...Is it kweli hilo neno linarefer kuitwa kwa interview?
Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya kazi online kwa kutumia Recruitment portal ?Bila shaka jibu lako ni ndio.
Nataka nikufundishe kidogo utawezaje kujua kama utaitwa kwenye inteview kabla hata majina hayajatoka. Je una kiu hiyo ya kutaka kujua ?Ingia kwenye akaunti yako, click My applications.Zitakuja positions ambazo umesha-apply tayari.Angalia kuna mahala pameandikwa Application Status -Kama umebahatika, utakutana na neno First Interview
HONGERA SANA:
Nyongeza plus~updated 08 May 2015. Napenda kushare na nyie kitu kidogo ambacho kitasave pesa zetu kuhusiana na barua za maombi za kuattach kwenye job application.Je unapoteza pesa nyingi kwenye ku-scan ?Usiende kuscan barua yako hakuna hiyo haja. Type vizuri barua yako ya kazi kwenye Microsoft word then isave.
smallpdf.com/word-to-pdf ina uwezo wa kubadilisha document yako iliyo kwenye word to pdf.
Huna haja ya kuscan barua zako za kazi.
Kama huna hyo account una create vipi?
bofya kwenye register zen ingiza email na password yako
Mkuu NAPITA vitu gani muhimu unaattach pale kwenye other attachment?
Je wanaposema TCU certificates ni vyeti vya namna gani?
Je kuna ulazima wa kuattach academic certificate wakati tayari tuliambatanisha pale mwanzo kabisa wakati tunajaza academic details?