Myangu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 7,170
- 9,700
Mkuu miye nimetoa tuu maoni maana umri wangu naelekea magharibiUeledi, kama una vigezo omba kazi.
Usiogope.
Mkuu miye nimetoa tuu maoni maana umri wangu naelekea magharibiUeledi, kama una vigezo omba kazi.
Usiogope.
Lkn kwa kazi ya Mapokezi nadhani diploma au bachelor ingetosha.Hii haitaombwa na watu wa Elimu ya kawaida maana nahisi wataomba wasomi wenye cv zao hasa.
Dah!!!, maisha noma sana, yaani watu wanavyozimendea kazi za watu ni balaa.Tena bila interview
Waingereza watashangaa wanaweza kupokea application milioni moja kwa nafasi hii. Hakuna ajira.Dah!!!, maisha noma sana, yaani watu wanavyozimendea kazi za watu ni balaa.
Unachosema ni ukweli ama unaongopa.Tena hio 1.2m ya daktari hua inashuka mpk 900k take-home.
AiseeUnachosema ni ukweli ama unaongopa.
Kuna jamaa mmoja ameacha medicine dakika ya mwisho kabisa. Alibakiza ue ya mwisho amalize.anadai alivyoingia Ile first year Kuna doctor mmoja akawa anaawaambia kuwa Kama umekuja huku inategemea kuwa tajiri sahaau.
Dr ama Ile sifa na heshima ya career yake mtaani Ila hata machinga anamkalisha chini.
Wale specialist wanaoheshimika jamaa akawa anawadharau kuwa wanatembelea mark2 Tena mtumba.
Jamaa akaichoka md. Binafsi kinachoniuma ni ugumu wa kozi Yao labda hata mfamasia.
Binafsi advance nilichaguliwa kusoma pcb nikaikataa vibaya Sana. Mana nimeishi na madokta afu life lako sio la kutisha Sana.
Yaani Ile taito wanalewa nayo.
Sema wanaokoa life letu.
Ubalozi wa Uk umetangaza nafasi nyingine ya dereva Deadline 23/09/2021
Kabisa watapeta sana.Sure. Ma graduates wangepambania nafasi hiyo.
Waarabu wanatajirika na u daktari lakini wanaufanyia Ulaya.Unachosema ni ukweli ama unaongopa.
Kuna jamaa mmoja ameacha medicine dakika ya mwisho kabisa. Alibakiza ue ya mwisho amalize.anadai alivyoingia Ile first year Kuna doctor mmoja akawa anaawaambia kuwa Kama umekuja huku inategemea kuwa tajiri sahaau.
Dr ama Ile sifa na heshima ya career yake mtaani Ila hata machinga anamkalisha chini.
Wale specialist wanaoheshimika jamaa akawa anawadharau kuwa wanatembelea mark2 Tena mtumba.
Jamaa akaichoka md. Binafsi kinachoniuma ni ugumu wa kozi Yao labda hata mfamasia.
Binafsi advance nilichaguliwa kusoma pcb nikaikataa vibaya Sana. Mana nimeishi na madokta afu life lako sio la kutisha Sana.
Yaani Ile taito wanalewa nayo.
Sema wanaokoa life letu.
Huu ndio mshahara mkubwa?Hivi daktari ndio anamshahara mkubwa acheni ushamba, EWURA huko watu wanalipwa milioni 3 kwa mwezi.
Ndio kwani ni mdogo huo,Huu ndio mshahara mkubwa?
Sio wahindi kweli. Mie nilipenda Sana nifanyie kazi njeWaarabu wanatajirika na u daktari lakini wanaufanyia Ulaya.
Kutoka Egypt, Syria,Lebanon wamekamata field ya medicine Ulaya.Sio wahindi kweli. Mie nilipenda Sana nifanyie kazi nje
Sijui ndio maana nimeulizaNdio kwani ni mdogo huo,
Okay.mana kwa vile masikini wanasoma Sana kwa bidii so wanakuwa competent.Kutoka Egypt, Syria,Lebanon wamekamata field ya medicine Ulaya.
Sio graduate. Graduate ni 1st degreeKwani darasa la saba siyo Graduate?
Daktari mmoja kutoka Iran aliniambia kwao ukiwa unafanya mtihani wa 11+ sawa na NECTA IV huku kwetu, miezi sita kabla ya mtihani huonekani mtaani, unakwenda shule, kula, kusoma na kulala. Unapanga combi yako na unahakikisha una past papers za miaka mitatu nyuma una solve maswali.Okay.mana kwa vile masikini wanasoma Sana kwa bidii so wanakuwa competent.
Nadhani wahindi wapo manesi Sana uk na ni watu wa it plus maths. Saivi watt wa ulaya wanatumia utajiri waliochuma babu zao kutununua basi hakuna jingine
Jamani mimie nakubaliana na nyie lakini kiukweli maisha haya hayana formula!!Unachosema ni ukweli ama unaongopa.